Nimetengeneza App inayofanana na app ya Threads inayoshindana na Twitter

Nimetengeneza App inayofanana na app ya Threads inayoshindana na Twitter

Buni kitu chako na usitumie wazo la Mtu, hizo clone ni rahisi kuzifanya ila hazifiki kokote zaidi utabaki kuwa unaiangalia Wewe pekeako na haitakuwa Sehemu ya kukupigisha hatua za mafanikio.
 
Unaweza kutengeneza movie ya masaa mangapi kwa wiki
Mimi nafanya 3d animation.. ndani ya wiki moja siwezi kutengeneza movie.. labda short clip na itategemea itahitaji kitu gani.. mfano kama nitakuwa na models ziko tayari itaokoa muda wa kutengeneza.. pia na speed ya computer hasa wakati wa kufanya rendering
 
2d vipi? Kama computer iko vizuri, movie ya masaa matano baada ya kupewa script inaweza kuchukua siku ngapi kukamilika?
 
Mimi nafanya 3d animation.. ndani ya wiki moja siwezi kutengeneza movie.. labda short clip na itategemea itahitaji kitu gani.. mfano kama nitakuwa na models ziko tayari itaokoa muda wa kutengeneza.. pia na speed ya computer hasa wakati wa kufanya rendering
Kujifunza animation inatakiwa pia mtu aanze na programming?
 
badili kichwa kiwe nimefanikiwa kuipata copy (clone) ya threads

ulichofanya ni kuclone na wala si kutengeneza.
 
Youtube mkuu
Niliwahi jaribu kujifunza online ila nikagundua mashine yangu haipo compatible na blender. Nikaamua nitafute sehemu ambayo wana vifaa tayari, nijifunze kisha once nikimaliza nipambane kupata vifaa vitakavyokua compatible
 
Huwezi kuclone bila kutengeneza. Ni lazima uwe na ujuzi wa kutengeneza app ili uweze kuclone
ulichofanya ni kama kunyonya muvi kwenye pc unahamishia kwenye flash, umeinyonya na si kuitengeneza muvi.

Nakumbuka mwaka 2013 hivi pale udom mashirika yalienda kumsapoti mwanafunzi katengeneza copy ya facebook kaiita mayocco,com yeye akasema katengeneza 😂😂😂

google na github hizo copy za threads zipo kibao 😂
 
Back
Top Bottom