African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
- Thread starter
-
- #61
Anha nicheki PM kuna jamaa yangu anafanya 3d pia na ameajiriwa nadhani atapata muda wa kukufundisha 1 on 1Niliwahi jaribu kujifunza online ila nikagundua mashine yangu haipo compatible na blender. Nikaamua nitafute sehemu ambayo wana vifaa tayari, nijifunze kisha once nikimaliza nipambane kupata vifaa vitakavyokua compatible
Kama hajacopy na kupaste code basi katengeneza huyo. Na alistahiki pongeziulichofanya ni kama kunyonya muvi kwenye pc unahamishia kwenye flash, umeinyonya na si kuitengeneza muvi.
Nakumbuka mwaka 2013 hivi pale udom mashirika yalienda kumsapoti mwanafunzi katengeneza copy ya facebook kaiita mayocco,com yeye akasema katengeneza πππ
google na github hizo copy za threads zipo kibao π
pongezi zipi wakati ni clone hizo hizo tu, mtu anadownload code ya template mtandaoni ana edit vitu vichache tu lugha, picha, n.k.Kama hajacopy na kupaste code basi katengeneza huyo. Na alistahiki pongezi
Mimi sijacopy code. Nimeanza from scratch. Na siwezi copy code zao hata kama wangeziweka wazi sababu nimetumia Flutter kutengeneza hio clone. Wao wametumia native android & ios so haziwezi ingiliana.pongezi zipi wakati ni clone hizo hizo tu, mtu anadownload code ya template mtandaoni ana edit vitu vichache tu lugha, picha, icons, mpangilio, n.k.
baada ya hapo anahost anaiita jina analotaka.com
Tunachukulia poa haya mambo ila kuiga iga huku unaweza kutandikwa kesi ya haki miliki, nadhani alishaonywa juu ya hili akaifunga
Thanks bro πAbdallah codes congrats ππ
Kwa mfano Mtu akijiunga Kwa Hiyo clone Yako wewe Ndo una Access database ?Wakuu nimejaribu kuclone app ya Threads kutumia Flutter.
Nimeweka repository kwenye github yangu [emoji116]
[emoji821] GitHub - heisabdallah/threads_clone: A cloned threads app
Ya kushoto ni cloned version. Ya kulia ni official version ya Threads
View attachment 2689335
Hapana sijaifanya kuwa functional. Nimetengeneza muonekano tuKwa mfano Mtu akijiunga Kwa Hiyo clone Yako wewe Ndo una Access database ?
Haba na haba hujaza kibaba,Mpunga wa marketing ndio tatizo [emoji26]
Umeuliza swali zuri kwamba sio Kila mtu anajua ila unaweza kupenda kitu kufanya ila mambo mengi hauwajui hapa ndio watakupa maelezo ya kushiba utaelewaKingereza au
Sawa sawaHaba na haba hujaza kibaba,
Hata Huyo Mark Zuckerberg hakuanza na mtaji kama Alivyo sasa,
Everything is all about vision and Commitment [emoji56].