Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ukitengwa jitenge. Tafuta chako mwenyewe, usitolee macho mali ya urithi
Ukija kupata chako na kuwa na mafanikio utaona ndugu zako waliokutenga wenyewe wanakufuata.
Mifano mingi. Bob Marley alitengwa na familia ya baba yake mzungu kwa sababu mama yake alikuwa mweusi, alivyokuja kiwa muimbaji mashuhuri hao hao waliomtenga wakaanza kujitambulisha kwa kumtumia yeye, yeye akawa ndiye Marley aliyejulikana zaidi na kufanikiwa zaidi.
Same thing kwa Barack Obama.
Mtegemea cha ndugu hufa masikini.
Usitolee macho mali ya urithi.
Mimi mzee wangu ana nyumba za mamilioni ya US dollar, na mimi ndiye wa kwanza kwetu, lakini katika urithi nitaomba kupewa kitu chenye sentimental value tu kama ki object fulani alichokuwa nacho mezani kwake au diary / biblia/ vitabu vyake yake etc.
Habari ya kufikiri kurithi mali ni kujitia ulemavu. Natafuta zangu mwenyewe.