Nimetengwa baada ya baba yangu kufariki

Nimetengwa baada ya baba yangu kufariki

Ukitengwa jitenge. Tafuta chako mwenyewe, usitolee macho mali ya urithi

Ukija kupata chako na kuwa na mafanikio utaona ndugu zako waliokutenga wenyewe wanakufuata.

Mifano mingi. Bob Marley alitengwa na familia ya baba yake mzungu kwa sababu mama yake alikuwa mweusi, alivyokuja kiwa muimbaji mashuhuri hao hao waliomtenga wakaanza kujitambulisha kwa kumtumia yeye, yeye akawa ndiye Marley aliyejulikana zaidi na kufanikiwa zaidi.

Same thing kwa Barack Obama.

Mtegemea cha ndugu hufa masikini.

Usitolee macho mali ya urithi.

Mimi mzee wangu ana nyumba za mamilioni ya US dollar, na mimi ndiye wa kwanza kwetu, lakini katika urithi nitaomba kupewa kitu chenye sentimental value tu kama ki object fulani alichokuwa nacho mezani kwake au diary / biblia/ vitabu vyake yake etc.

Habari ya kufikiri kurithi mali ni kujitia ulemavu. Natafuta zangu mwenyewe.
 
nyumba tatu town Guesthouse inavyumba 13, na nyumba mbili za kupangisha kwa nyumba mbili za kupangisha zinavyumba 20, gari moja, na shamba hekari 26.
Achana na hizo mali, na naamini kisheria huna haki hapo maana mali ni za ndoa,
Kama babako amefariki basi mali sasa ni za mke wake.Huna haki na hizo mali.

Kama Baba yako alikuwa anataka upate hizo mali angekupa akiwa hai, hilo heka za shamba angekumegea, kwa kuwa hakukupa akiwa hai basi funika kombe pigana maisha kivyako.

Kama shida yako ni undugu fuata undugu MALI ACHANA NAZO lakini kama SHIDA YAKO NI MALI basi wana haki kukukataa maana inakuwa kama ni opportunist tu ambaye shida yake ni kutafuta mali.
 
Sawa kabisa. Sasa nambie ni nini kusudio lako; kudai urithi? au?

Thanksgiving, labda nikueleze mimi nibado mwanafunzi kwa sasa nasomea maabara diploma mwaka wa kwanza kutokana na kuhangaika kulipa ada ya chuo ninatamani niombe hadi misaada wakati najua kabisa kwa nyumba za urithi kwa mwenzi si chini ya 1mill na laki kadha kwa nini nihangaike isitoshe yeye ndiye aliye nisomesha kutoka kinderndagarten hadi form 4! Je is there any right to human being mkuu?
Im african
Im human
Im child
 
Baada ya baba yangu kutoweka duninia nimekataliwa kuwa sio mmoja wa familia
nimekulia kijijini baba yangu alikuwa anaishi mjini ,kutokana na kuto kunitambulisha kwa ndugu na kuwatambulisha dada zangu pamoja na kaka zangu, baba wadogo na zangazi wadai mbona wao hawakutambuliswa!
Kwa msaada wenu mnafikiri nini nifanye ili nami nipate haki yangu?

mkuu, kwa sasa inaonekana too late ila waweza kuwaona mawakali mahali ulipo wataangalia kama suala lako linawezekana watakushauri cha kufanya. pole sana kwa masaibu unayoyapitia mkuu.
 
Haki gan mnayotaka apiganie?akipigania mali ataonekana kumbe shida yake sio undugu bali mali.

Kuonyesha anajali undugu basi kama kuna swala la mali ajitoe kabisa, asihangaike na hiyo mali kama ipo.

agombee undugu kwa watu wasiomtaka ili iweje? mali ndio muhimu...naye ni mtoto halali wa marehemu na anastahili kupata urithi kama watoto wengine. acha kumtia mwenzako unyonge.
 
Mwanangu, ninaelewa uchungu ulio nao. Ninaomba Mungu afungue mlango wa faraja.

Lakini ninapenda kufahamu, umri wako, na nini unachofanya sasa kama unasoma ama unafanya nini hasa na unaishije. Kijijini ulikuwa unaishi na nani. Haki gani ambazo unataka?

Uhusiano wako na baba yako kabla hajafariki ulikuwaje?

Mama yako yuko wapi?

Nani alikuwa anakuhudumia katika mahitaji ya maisha yako hapo awali kabla baba hajafariki?

Baada ya baba yangu kutoweka duninia nimekataliwa kuwa sio mmoja wa familia
nimekulia kijijini baba yangu alikuwa anaishi mjini ,kutokana na kuto kunitambulisha kwa ndugu na kuwatambulisha dada zangu pamoja na kaka zangu, baba wadogo na zangazi wadai mbona wao hawakutambuliswa!
Kwa msaada wenu mnafikiri nini nifanye ili nami nipate haki yangu?
 
Thanksgiving, labda nikueleze mimi nibado mwanafunzi kwa sasa nasomea maabara diploma mwaka wa kwanza kutokana na kuhangaika kulipa ada ya chuo ninatamani niombe hadi misaada wakati najua kabisa kwa nyumba za urithi kwa mwenzi si chini ya 1mill na laki kadha kwa nini nihangaike isitoshe yeye ndiye aliye nisomesha kutoka kinderndagarten hadi form 4! Je is there any right to human being mkuu?
Im african
Im human
Im child

Hiyo ndio sababu ya kukukataa - mali. Wamejipatia mali ya dhuruma na hawako tayari kukutambua. Hao wanaweza hata kukuua. Una haki kama mtoto wa marehemu ila wanakuchinjia baharini. Usikate tamaa mtafute mwanasheria ili uone kama haki yako inaweza kupatikana. Pole pambana usiogope.
 
Achana na hizo mali, na naamini kisheria huna haki hapo maana mali ni za ndoa,
Kama babako amefariki basi mali sasa ni za mke wake.Huna haki na hizo mali.

Kama Baba yako alikuwa anataka upate hizo mali angekupa akiwa hai, hilo heka za shamba angekumegea, kwa kuwa hakukupa akiwa hai basi funika kombe pigana maisha kivyako.

Kama shida yako ni undugu fuata undugu MALI ACHANA NAZO lakini kama SHIDA YAKO NI MALI basi wana haki kukukataa maana inakuwa kama ni opportunist tu ambaye shida yake ni kutafuta mali.

Okey, but father na motherless died at the same time there is no mother mkubwa.
Thanks.
 
mimi ni mmoja wao. kikubwa ni maisha yako. mke atakusikiliza wewe. mimi nipo china lakini watu wanataka nikirudi nitangaze nia. usijali hilo. watakufata tu wenyewe. pia mwanaume usipende sana urithi. tafuta urithi wako. na uandae urithi wa wanao ambao ni ELIMU kwao.
 
nyumba tatu town Guesthouse inavyumba 13, na nyumba mbili za kupangisha kwa nyumba mbili za kupangisha zinavyumba 20, gari moja, na shamba hekari 26.

mkuu, kwa kuwa una picha na vyeti vya kuzaliwa, komaa mpaka upate haki yako ijapokuwa sasa suala la kupima DNA litakuwa gumu. onana na mawakili mahali ulipo wakusaidie kupata haki yako. ndugu wengine ni waroho sana...wanataka mali zote hizo wagawane wenyewe? yakhe hawana khaya! komaa sana tu mkuu mpaka kieleweke.
 
Kibongobongo.

I count billionaires in terms of major world currencies like USD/ GBP.

Madafu ya Kikwete hata ukija nayo 42nd St hapo wanapokubali karibu kila takataka hawayakubali.

Speaking of wealth and material trinkets, jana nilikuwa nafanya some IKEA shopping for some bathroom DIY projects (all them colognes need a new spacious home), kuna jamaa alinipiga fimbo sana na Porsche Macan S !

Unaona sasa....wewe ni wa IKEA wakati si wengine ni wa Rooms To Go. Dayuum!!

Na hizo colognes ni ngapi mazee? Like a miniature closet full of them..?
 
Asante, kwa hyo wazo lako mkuu mimi nijitenge?

Lukas...sijasema ujitenge namaanisha uendelee na maisha yako bila kujari kuna mtu mwingine au la...ni bahati mbaya watu hatuweki baadhi ya mikasa yetu...ninauona wako mdogo sana ukilinganisha na wa kwangu...lkn nasonga!!
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu, ninaelewa uchungu ulio nao. Ninaomba Mungu afungue mlango wa faraja.

Lakini ninapenda kufahamu, umri wako, na nini unachofanya sasa kama unasoma ama unafanya nini hasa na unaishije. Kijijini ulikuwa unaishi na nani. Haki gani ambazo unataka?

Uhusiano wako na baba yako kabla hajafariki ulikuwaje?

Mama yako yuko wapi?

Nani alikuwa anakuhudumia katika mahitaji ya maisha yako hapo awali kabla baba hajafariki?

By the way in short!
Baba alikuwa manager wa ttcl iringa centre kutokana na kufanya kanzi baada ya mda akastafu na kuanza kanzi binafsi, ilipofika kupatikana kwangu kwakuwa mama mkubwa alikuwa yupo naye pamoja na baba bc mama akawa yupo kijijini niliko zaliwa nikaanza shule chekechea akiwa yeye ndio axis wa waisha yangu sina pen was up to him, kitu chechote kile ninachokita nilikuwa napewa. Kupewa kwa matumizi hayo nilikuwa naenda mjini na pewa pesa kama nguo kununuliwa bc na nunuliwa. Hadi ilipo fika form form nikamaliza. Akapiga sim kuwa niende mjini anakokaa yeye ili twende tukaishi wote, bc huo mswaada ukawezekana tukawa tunakaa naye tulikaa naye kama mwenzi mmoja dada zangu wakatambulishwa pa moja na mama mkubwa, baada tu ya kutambulishwa wiki 3 mbele mzee kuumwa mpaka kufa kwake, baada ya kufa ikawa ndio ngao kuu ya kufukunzwa na kukataliwa kuwa sio mtoto wa familia mmoja .KUMBUKA KUWA NAYE MAMA ALIKUFA BAADA YA WIKI INAYOFUATA. Je im still child, im still student in diploma first as you the prices needed at unversity of medicala laboratory.
Thanks.
 
Lukas...sijasema ujitenge namaanisha uendelee na maisha yako bila kujari kuna mtu mwingine au la...ni bahati mbaya watu hatuweki baadhi ya mikasa yetu...ninauona wako mdogo sana ukilinganisha na wa kwangu...lkn nasonga!!

thanks!
 
Last edited by a moderator:
tafuta pesa kwa JUHUDI NA MAARIFA YOTE wataanza kujipendekeza
 
Haki gan mnayotaka apiganie?akipigania mali ataonekana kumbe shida yake sio undugu bali mali.

Kuonyesha anajali undugu basi kama kuna swala la mali ajitoe kabisa, asihangaike na hiyo mali kama ipo.

Mkuu HAKI siyo lazima iwe mali sin maan hiyo,
Haki nayo taka aipiganie ni HAKI yA ubini.
 
Back
Top Bottom