Nimetengwa baada ya baba yangu kufariki

Nimetengwa baada ya baba yangu kufariki

pole sana ila kwa ushauri wang nikwamba huwez lazimisha undugu na mtu asiyetaka but kisheria kinachoangaliwa ni ushahid na mahusiano ya karibu uliokua nayo wwe na marehemu kama unajiamin kwa hayo nenda mahakamani.....
 
Thanksgivin' Fj for your advice let make active force to find my own properties.
 
Thanksgivin' Fj for your advice let make active force to find my own properties.
 
Sasa ndio wakati wa kujua kama umepata mke ama koroma.
Huna haja ya kuigiza, muambie ukweli wote. Na hao waliokulelea ndio wazazi wako. Huyo mwanamke kama anakupenda atakukubali na hao wanaokupenda watamkubali pia kwa ajili yako. Hao unaotaka kuwalazimishia undugu watakuchosha tu.

Likuepukalo lina kheri. Kuwa positive, shukuru Mola hapo ulipofika na usonge mbele. Ngoja kakangu Kiranga aje hapa akuelimishe
Kikubwa zaidi, ichukulie umri umefika wa kuoa, mke mtarajiwa anasema nami natamani kuja kwenu kwa wazazi wako, kwa mtazamo wako unafikiri nitampeleka wapi akidai twende kwa baba mzawa! Just help,
 
Last edited by a moderator:
hehehe kumbe upo blaza?
Hivi mwanaume mwenye umri wa kuoa anaweza kugombea mali za baba yake? sijui kwa nini huwa mali hazinipi mawazo kabisa aisee.
Hapa ndipo umuhimu wa mke mmoja, mtoto mmoja unapokuja.

Hakuna chance ya watoto kugombea mali.
 
hehehe kumbe upo blaza?
Hivi mwanaume mwenye umri wa kuoa anaweza kugombea mali za baba yake? sijui kwa nini huwa mali hazinipi mawazo kabisa aisee.

Lakini hizo cribs zitabaki za familia na sijawahi kuwa na wazo la kuzitolea jicho.

Na huyo ni mshua aliyenilea, hakuna issue ya kwamba nilikuwa simjui mpaka anafariki ndiyo najiingiza kwenue mgao kwamba nikaona noma.

Mtegemea cha ndugu hufa masikini. Kila mtu atafute chake na kuongezea utajiri wa ukoo.
 
HAKI HAMNA HAPO NDUGU, zaidi atajipotezea muda tu.

Kumbuka kuacha mwenyewe utajijengea heshima zaidi kuliko kupigana vita ambayo huwezi shinda.

HAKUNA HAKI kivipi wakati naye ni mtoto halali wa marehemu? unaijua sheria ya urithi wewe? kaisome vizuri. jamaa lazima apate urithi kutokana na mali za baba yeke...hawezi kutengwa hivihivi. sema tu labda yeye mwenyewe ashindwe kufuatilia haki yake.
 
Hana haki ya kudai lolote hapo, anahitaji kudra tu wamsaidie ila HAKI HANA.

Hivyo suala la kwenda nae kisheria hapati kitu.Huu ndio ukweli japo mchungu.

So muhimu kwake kama anahitaji undugu ajenge undugu vinginevyo hana lake hapo.

kwani hujui SHERIA inasema nini kuhusu urithi? je, unafahamu kwamba ipo sheria inayohusu mambo ya urithi inayomlinda apate haki yake?
 
kufahamiana kwao na mama ni kwamba kulikuwa kuna kaka wa kwanza alikufa mbaye alikuwa mkubwa kwangu ndiyo huyo wao ndio wanadai kuwa angekuwa yule wa kwanza wangekubaliana nae ila sio mimi,tatizo ndio hlo.

lakini mi nafikiri hao hawana kosa kwani ujatambulishwa ,labda DNA itumike
 
tpaul usemayo ni kweli...lkn kama ndugu washamsusa itachukua muda na resource kupata haki yake...kama anaweza kuishi kwa nini atumie nguvu kutambuliwa kama mwanafamilia...kwa nini asitafute tu ya kwake...

mkuu Zamaulid, hapa suala sio kutambuliwa. ndugu wamtambue wasimtambue, ni haki yake kupata urithi kwa kuwa ni mtoto halali wa marehemu baba yake. hata akina mama wanaozaa nje ya ndoa huwabambika waume zao watoto waliozalishwa na michepuko lakini huja kuumbuliwa na kipimo cha DNA....hiki ni kipimo mojawapo ambacho jamaa anaweza kukitumia kama last alternative (ikiwa hana documents zozote) ili apate haki yake. lakini nakumbuka mkuu Lukas4 anasema kwamba anazo picha alizowahi kupiga na babaye na pia anacho cheti cha kuzaliwa. na sio kwamba ndugu wote hawamtambui ila baadhi yao wenye roho mbaya kama kauzu ndio wanamkataa. anaweza kuwatumia hao ndugu wanaomkubali kama mashahidi+docmuments+photos, etc kupata haki yake ya urithi. kwanini ateseke kujitafutia karo wakati baba yake ameacha mali lukuki? sio haki hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
utachukua muda na pesa nyingi kugombea urithi, utajihatarisha bure. wewe uko chuo mbona umeshasimama! Tafuta maisha, amini nakwambia hao ndugu wanaotegemea pango la nyumba zilizojengwa miaka hiyo watakuja kwako kutaka msaada. PIGA KAZI.

tatizo hata pesa ya kulipia chuo hana, si unajua diploma hawana mkopo
 
kwani hujui SHERIA inasema nini kuhusu urithi? je, unafahamu kwamba ipo sheria inayohusu mambo ya urithi inayomlinda apate haki yake?
Hakuna sheria kama hiyo...weka ushahidiia hiyo unayoisema...Kuwa Baba akizaa nje mtoto wa nje ana haki ya kudai mali za ndoa za baba yake...HAKUNA SHERIA HIYO...HANA HAKI HIYO.
 
mkuu Zamaulid, hapa suala sio kutambuliwa. ndugu wamtambue wasimtambue, ni haki yake kupata urithi kwa kuwa ni mtoto halali wa marehemu baba yake. hata akina mama wanaozaa nje ya ndoa huwabambika waume zao watoto waliozalishwa na michepuko lakini huja kuumbuliwa na kipimo cha DNA....hiki ni kipimo mojawapo ambacho jamaa anaweza kukitumia kama last alternative (ikiwa hana documents zozote) ili apate haki yake. lakini nakumbuka mkuu Lukas4 anasema kwamba anazo picha alizowahi kupiga na babaye na pia anacho cheti cha kuzaliwa. na sio kwamba ndugu wote hawamtambui ila baadhi yao wenye roho mbaya kama kauzu ndio wanamkataa. anaweza kuwatumia hao ndugu wanaomkubali kama mashahidi+docmuments+photos, etc kupata haki yake ya urithi. kwanini ateseke kujitafutia karo wakati baba yake ameacha mali lukuki? sio haki hata kidogo.

Angeweza kumshtaki Baba yake juu ya matunzo au kumsomesha...LAKINI mtoto wa nje hana haki ya kudai mali ya ndoa ya Baba, hana haki hiyo.Ni simple like that.
 
vithibitisho vipo kama picha za utotoni ambazo nilipiga naye, furthermore baada ya kumaliza kidato cha nne baba yangu alikuja kunichukua na kunipeleka kwake kwa mama mkubwa na kumtambulisha pamoja pamoja na watoto zake. Pingamizi kubwa ni kwa baba mdogo na shangazi zangu, inafika mwaafaka ninakosa hadi amani kwamba mimi ninani kakika jamii!

pole sana mkuu, inawezekana kabisa bado hela haijakutembelea, tafuta hela wakakutambua tu, hii dunia shetani kaiharibu sana!
 
Dogo naomba ukubali hii, babako alidhamiria kuinvest kwako through EDUCATION.
Kutokuwepo Kwa wasia kuhusu mgao wako inathibitisha kuwa mpk hapo diploma ulipo ndio URITHI wako, kuanzia hapo kwenda juu ni msuli wako!
Hata huo mgao wa Mali unaotaka, unaweza kupewa kiasi tu, kuendeleza no juu yako! Na pia dogo umebahatika wee ni wa kiume, huo pia ni mtaji, JIKUBALI
 
shukrani sana mkuu
 
"I have learned forwad,
asante sana JF"
[ KWELI BILA MUNYU HUSESWA]
Yani vitamu huwa havitapikwi hata kama vimetapikwa basi mafuta ya taa yamemwagikia
 
Back
Top Bottom