Nimetengwa na marafiki baada ya kuacha pombe

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Wakuu Hili Jambo limenikera Sana

Iko HV ,Mimi nilikuwa mtumiaji wa pombe yaani kwa kifupi nilikuwa nabungia Kweli kweli pombe na pombe zangu ilikuwa ni kama ifuatavyo
Napenda kutumia

Kilimanjaro lager au
Safari lager au
Konyagi au
K vant au
Grants ,

Maserengeti lite na matakataka mengine ya type hyo situmii Wala vinywaji vya SBL sisipendi .
Sasa jusi Kuna jamaa angu hakujuwa Kama mm sasa hivi nimeacha pombe aliniita tukutane chakoni chako dodoma hapa Basi akijuwa kbsa mm Ni mdau muhimu wa bia za kilimanjaro,yey alikuwa anatupia castel lager .Basi akamuita muhudu akamuambia mletee huyu brazaa bia sita za barid zote ziwe hapa ndipo nikamuambia kuwa asante mkuu ile leo siko sawa nimetumiaa dawa za typhoid ila mm niliogapa kumchna live kuwa situmii kwa Sasa hivi vilevi. ikabidi nimuongopee kwa siku hyo basi mm nikaagiza fanta orange na kuendele kumpa kampani Yule jamaa angu huku tukiagiza kuku mzima Basi tukamaliza tuagaana freshi .

Mwezi wa sita mwanzoni nilisafri kwenda singida nikaktuana na jamaa angu pia ambae yeye hzo Serengeti lite akiweka mdomoni anakata yote,kweli aliniagiziaa akashanga kumuambia kuwa kwa sasa nimeacha kbsa hakuamini kbsa na Kweli hakufurahi kusikia hivyo Kama vile alihuzunika mm kuacha pombe haikupita Muda akanimbia tuondoke hapa wakt tukiwa pmj tunaweza kukaha had saa Saba tunapiga vyombo tu [emoji481] [emoji481].

Week iliyopita nilikutana na Yule jamaa angu wa mwanzo tulikuwa tunaangali ngumi kaweny pub moja hivi jamaa Kama kawa akagiza mapombe yake Kisha akaniagizia na mm ndipo nikamchna ukweli kuwa kwa SAS nimeacha pombe hat nikamuambia kuwa hata hyo siku tulivyokutana hapo chakonichako sikuwa naumwa Basi tu nimeamua kuacha [emoji41] Kama vile hajapenda hbr hzo

Jamaa alipiga bia 2 tu Kisha akasepa nikamuambia tulia mzee uletewe vitu akanigomea ofa zangu akaniaga Kama vile amechukizwa mm kuacha pombe na wkt kampani yake ilikuwa mm na jamaa wengine wa town .

Kumbe pasipo kujuwa yule jamaa akaenda kuzambaza habar kwa marafiki zangu na Wana wengine kuwa kwa Sasa hivi mimu nimeokoka ,hvyo nitengwe

Leo nimegundua Hilo baada ya kuona jpili imekuwa ndefu mno nikampigia mshikaji wangu mwingine kuumuliza Yuko pande zipi ndipo akanichana live kuwa Sasa hivi hutumia pombe naenda kufanya nn bar na wao wanakunywa na hata hvyo anajuwa kwa sasa mm nimeoka . nimeshangazwa na taarifa zake za ulokole wangu wakt mm binafis sijaokoka ila nimaamuzi tu nimefikia baada ya kutokuona faida yoyote Zaid ya hasara kwa vile nilikuwa naweza kwa siku tatu yaani ijumaa ,jmosi ,jpili nikatumia Zaid ya 230,000 nearly

Kwa Kweli mm siwezi kukaha nyumbani Muda wote napendelea kuwepo na washakaji tukichill mahali either kuchoma mbuzi au ku hang sehemu tulivu na kuenjoy SAS sahv leo nawacheki Wana wote wamenikataa kbsa naona Niko peke angu tu nawaza kutengua kauli zangu au nimove tu na maisha ya bila pombe

nilikwensa bar Jana nikaawa nimeagiza Fanta orange Kama muhudumu alionesha dharau fln baada ya mm kudai chenji yangu shilingi Mia mbili

Nifanyeje hi Hali nizoee
 
Sent from my technology
We ni snitch,utengwe tu
 
Kazia hapohapo.... Pombe sio dili... Sijaacha ila nimepunguza sana tu...
 
1. Hata kama hunywi pombe, agiza kinywaji ambacho walau muhudumu unampa uzito wa kukuhudumia, mf bavaria non alc, baltika, malta. Sio fanta kama binti wa kilokole yuko kwenye duka la kanisa anamsubiri mwanakwaya mwenzie.
2. Ukiacha pombe, usiende bar, utarudi tu. Ni sawa unasema umeacha nunua malaya halafu huishii kwenda Kimboka.
 
Wanakuogopa.Watu wasiobugia masanga wengi wao huwa wasengenyaji,malaya,watu wa kudharau wanywaji,wanawatisha wanywaji kwamba watachomwa Moto na huwa ni waongowaongo si wa kweli.Kinyume kabisa na wanywaji.Wewe nenda utafute wacheza bao au wanywa kahawa kwa kashata tu.
 
1. Hata kama hunywi pombe, agiza kinywaji ambacho walau muhudumu unampa uzito wa kukuhudumia, mf bavaria non alc, baltika, malta. Sio fanta kama binti wa kilokole yuko kwenye duka la kanisa anamsubiri mwanakwaya mwenzie.
2. Ukiacha pombe, usiende bar, utarudi tu. Ni sawa unasema umeacha nunua malaya halafu huishii kwenda Kimboka.
Hili la baltika na bavaria nitafanyia Kaz mkuu Tena SAS HV naenda kuipiga

Je una uhakika kbsa kuwa Bavaria hazina kilevi coz simpliy sitaki kilevi chochote aged 30++(!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom