Nimetengwa na marafiki baada ya kuacha pombe

Hivi kwanza unaachaje pombe mkuu..??
Yaani unaacha pombe kizembe namna hiyo..!!
Saukiacha pombe, viwandani itakuaje..??
Hivi kweli umejitafakari vizuri na ukazijua hasara za kuacha kupombeka..[emoji848][emoji848]
Mkuu, huyo pepo aliekutoa kundini inapaswa umkemee kwa nguvu zote..[emoji3525][emoji3525]
Mkuu ushi.... Nakuheshimu Sana ila swala la kunishauri nianze upya Tena ulevi siyo sawa haikubaliki
Natamani nisitumie Tena Hadi nife

Hili Ni hekalu la bwana kwanin niupopoe kwa ulevi simply no

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa heshma ulio nipea mkuu...🤝
By the way, umefanya maamuzi ya maana sana na Mungu aendelee kuku simamia katika hili.
Nami nitakuombea uendelee kusimama katika njia inayo mpendeza Mungu.
Binafsi nikupongeze sana kwasababu hakuna mtu yeyote alie wahi kutoa ushuhuda kwamba pombe inafaida gani.
Na ukinywa pombe kwanza unalala unanuka mdomo, yawezekana umekua kero kwa mwenza wako lakini hakuweza kusema kwasababu ya upendo na pengine alishiriki kukuombea hata ukawa wewe leo hii.
Alafu..... kimsingi pombe haijawahi kua na faida katika ustawi wa familia na maendeleo kwa ujumla.
Naomba nikupongeze sana kwa uamuzi ulio ufanya, tena usisumbuke kuwafikiria marafiki kamwe kwani rafiki mzuri ni yule anae yaheshimu mawazo na maamuzi yako hata kama haupo sahihi.
 
Sponsor umepotea lazima wachukie,shikilia hapohapo pombe haina faida,anza kupangilia miradi utaanza kushangaa ulikuwa wapi mda wote

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwanza unaachaje pombe mkuu..??
Yaani unaacha pombe kizembe namna hiyo..!!
Saukiacha pombe, viwandani itakuaje..??
Hivi kweli umejitafakari vizuri na ukazijua hasara za kuacha kupombeka..🤔🤔
Mkuu, huyo pepo aliekutoa kundini inapaswa umkemee kwa nguvu zote..☹️☹️
Huyo ni wa kufungwa hata miaka miwili na viboko juu.
 
Asante kwa heshma ulio nipea mkuu...[emoji1666]
By the way, umefanya maamuzi ya maana sana na Mungu aendelee kuku simamia katika hili.
Nami nitakuombea uendelee kusimama katika njia inayo mpendeza Mungu.
Binafsi nikupongeze sana kwasababu hakuna mtu yeyote alie wahi kutoa ushuhuda kwamba pombe inafaida gani.
Na ukinywa pombe kwanza unalala unanuka mdomo, yawezekana umekua kero kwa mwenza wako lakini hakuweza kusema kwasababu ya upendo na pengine alishiriki kukuombea hata ukawa wewe leo hii.
Alafu..... kimsingi pombe haijawahi kua na faida katika ustawi wa familia na maendeleo kwa ujumla.
Naomba nikupongeze sana kwa uamuzi ulio ufanya, tena usisumbuke kuwafikiria marafiki kamwe kwani rafiki mzuri ni yule anae yaheshimu mawazo na maamuzi yako hata kama haupo sahihi.
Nikushukuru Sana mkuu nitaendelea kujisimamia Hadi mwisho Wala cwez kuwadarau wanao tumia hpn Ila kwangu no simenuchosha Nitaletaa siku moja kids iliyonipelekea Hadi kuacha kbsa ulevi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ushaona mvuta bangi ana kampn na ambaye havuti?...mwenyew hapa nna dose ya mwez nimewaambia jamaa zangu naona nao wamenitenga kwa muda ila fresh tu ...nikirudi lazma nikawazime na mibapa
 
Wakuu Hili Jambo limenikera Sana

Iko HV ,Mimi nilikuwa mtumiaji wa pombe yaani kwa kifupi nilikuwa nabungia Kweli kweli pombe na pombe zangu ilikuwa ni kama ifuatavyo
Napenda kutumia

Kilimanjaro lager au
Safari lager au
Konyagi au
K vant au
Grants ,

Maserengeti lite na matakataka mengine ya type hyo situmii Wala vinywaji vya SBL sisipendi .
Sasa jusi Kuna jamaa angu hakujuwa Kama mm sasa hivi nimeacha pombe aliniita tukutane chakoni chako dodoma hapa Basi akijuwa kbsa mm Ni mdau muhimu wa bia za kilimanjaro,yey alikuwa anatupia castel lager .Basi akamuita muhudu akamuambia mletee huyu brazaa bia sita za barid zote ziwe hapa ndipo nikamuambia kuwa asante mkuu ile leo siko sawa nimetumiaa dawa za typhoid ila mm niliogapa kumchna live kuwa situmii kwa Sasa hivi vilevi. ikabidi nimuongopee kwa siku hyo basi mm nikaagiza fanta orange na kuendele kumpa kampani Yule jamaa angu huku tukiagiza kuku mzima Basi tukamaliza tuagaana freshi .

Mwezi wa sita mwanzoni nilisafri kwenda singida nikaktuana na jamaa angu pia ambae yeye hzo Serengeti lite akiweka mdomoni anakata yote,kweli aliniagiziaa akashanga kumuambia kuwa kwa sasa nimeacha kbsa hakuamini kbsa na Kweli hakufurahi kusikia hivyo Kama vile alihuzunika mm kuacha pombe haikupita Muda akanimbia tuondoke hapa wakt tukiwa pmj tunaweza kukaha had saa Saba tunapiga vyombo tu [emoji481] [emoji481].

Week iliyopita nilikutana na Yule jamaa angu wa mwanzo tulikuwa tunaangali ngumi kaweny pub moja hivi jamaa Kama kawa akagiza mapombe yake Kisha akaniagizia na mm ndipo nikamchna ukweli kuwa kwa SAS nimeacha pombe hat nikamuambia kuwa hata hyo siku tulivyokutana hapo chakonichako sikuwa naumwa Basi tu nimeamua kuacha [emoji41] Kama vile hajapenda hbr hzo

Jamaa alipiga bia 2 tu Kisha akasepa nikamuambia tulia mzee uletewe vitu akanigomea ofa zangu akaniaga Kama vile amechukizwa mm kuacha pombe na wkt kampani yake ilikuwa mm na jamaa wengine wa town .

Kumbe pasipo kujuwa yule jamaa akaenda kuzambaza habar kwa marafiki zangu na Wana wengine kuwa kwa Sasa hivi mimu nimeokoka ,hvyo nitengwe

Leo nimegundua Hilo baada ya kuona jpili imekuwa ndefu mno nikampigia mshikaji wangu mwingine kuumuliza Yuko pande zipi ndipo akanichana live kuwa Sasa hivi hutumia pombe naenda kufanya nn bar na wao wanakunywa na hata hvyo anajuwa kwa sasa mm nimeoka . nimeshangazwa na taarifa zake za ulokole wangu wakt mm binafis sijaokoka ila nimaamuzi tu nimefikia baada ya kutokuona faida yoyote Zaid ya hasara kwa vile nilikuwa naweza kwa siku tatu yaani ijumaa ,jmosi ,jpili nikatumia Zaid ya 230,000 nearly

Kwa Kweli mm siwezi kukaha nyumbani Muda wote napendelea kuwepo na washakaji tukichill mahali either kuchoma mbuzi au ku hang sehemu tulivu na kuenjoy SAS sahv leo nawacheki Wana wote wamenikataa kbsa naona Niko peke angu tu nawaza kutengua kauli zangu au nimove tu na maisha ya bila pombe

nilikwensa bar Jana nikaawa nimeagiza Fanta orange Kama muhudumu alionesha dharau fln baada ya mm kudai chenji yangu shilingi Mia mbili

Nifanyeje hi Hali nizoee
Bro achana na marafiki wa msimu. We kaz hivyo hivyo kama kweli ni rafiki zako watarud kama sio watakuja wengine wapya that's how life it's.
 
Hongera sana mkuu kwa kufanikiwa kuacha pombe! Usirudi nyuma.
 
Back
Top Bottom