Nimetengwa na marafiki baada ya kuacha pombe

Mkuu kwa kwlei baada ya kuacha kilevi nimepoteza marafiki nimekuwa nakutana ana watu wa ajabu ajabu Mara wengine waimba kwaya Mara wengine wasengenyaji yaani acha kbsa watu wa ovyo tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
HV bavari moja Bei gani ,na je nikivitumia sinitaoneka Kama najiona special fln hv

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umeona nuru, na siku zote nuru na giza havikai pamoja, jitahidi kubadili campany... Au tafuta hobby ingine🙏
 
Jitahidi wewe ndiye uwe mtu wa kuwatenga marafiki, si wa kutengwa na marafiki.

Jikubali mwenyewe mpaka kujikubali kwenyewe kuseme basi inatosha.

Yani unakuwa popular una marafiki wengi mpaka ikitokea wengine wanakutenga unafurahi, unaona wanakupunguzia matatizo ya kuwa na marafiki wengi sana.
 
Umeshawahi kuwaona swala wanaishi na simba? Kwa sasa tafuta watu mnaoendena kwenye hizo novida.
 
Hivi kwanza unaachaje pombe mkuu..??
Yaani unaacha pombe kizembe namna hiyo..!!
Saukiacha pombe, viwandani itakuaje..??
Hivi kweli umejitafakari vizuri na ukazijua hasara za kuacha kupombeka..🤔🤔
Mkuu, huyo pepo aliekutoa kundini inapaswa umkemee kwa nguvu zote..☹️☹️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…