Nimetengwa na marafiki baada ya kuacha pombe

Mkuu ushi.... Nakuheshimu Sana ila swala la kunishauri nianze upya Tena ulevi siyo sawa haikubaliki
Natamani nisitumie Tena Hadi nife

Hili Ni hekalu la bwana kwanin niupopoe kwa ulevi simply no

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ushi.... Nakuheshimu Sana ila swala la kunishauri nianze upya Tena ulevi siyo sawa haikubaliki
Natamani nisitumie Tena Hadi nife

Hili Ni hekalu la bwana kwanin niupopoe kwa ulevi simply no

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asante kwa heshma ulio nipea mkuu...🀝
By the way, umefanya maamuzi ya maana sana na Mungu aendelee kuku simamia katika hili.
Nami nitakuombea uendelee kusimama katika njia inayo mpendeza Mungu.
Binafsi nikupongeze sana kwasababu hakuna mtu yeyote alie wahi kutoa ushuhuda kwamba pombe inafaida gani.
Na ukinywa pombe kwanza unalala unanuka mdomo, yawezekana umekua kero kwa mwenza wako lakini hakuweza kusema kwasababu ya upendo na pengine alishiriki kukuombea hata ukawa wewe leo hii.
Alafu..... kimsingi pombe haijawahi kua na faida katika ustawi wa familia na maendeleo kwa ujumla.
Naomba nikupongeze sana kwa uamuzi ulio ufanya, tena usisumbuke kuwafikiria marafiki kamwe kwani rafiki mzuri ni yule anae yaheshimu mawazo na maamuzi yako hata kama haupo sahihi.
 
Sponsor umepotea lazima wachukie,shikilia hapohapo pombe haina faida,anza kupangilia miradi utaanza kushangaa ulikuwa wapi mda wote

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni wa kufungwa hata miaka miwili na viboko juu.
 
Nikushukuru Sana mkuu nitaendelea kujisimamia Hadi mwisho Wala cwez kuwadarau wanao tumia hpn Ila kwangu no simenuchosha Nitaletaa siku moja kids iliyonipelekea Hadi kuacha kbsa ulevi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ushaona mvuta bangi ana kampn na ambaye havuti?...mwenyew hapa nna dose ya mwez nimewaambia jamaa zangu naona nao wamenitenga kwa muda ila fresh tu ...nikirudi lazma nikawazime na mibapa
 
Bro achana na marafiki wa msimu. We kaz hivyo hivyo kama kweli ni rafiki zako watarud kama sio watakuja wengine wapya that's how life it's.
 
Hongera sana mkuu kwa kufanikiwa kuacha pombe! Usirudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…