Nimetengwa na marafiki baada ya kuacha pombe

Nikushukuru Sana mkuu nitaendelea kujisimamia Hadi mwisho Wala cwez kuwadarau wanao tumia hpn Ila kwangu no simenuchosha Nitaletaa siku moja kids iliyonipelekea Hadi kuacha kbsa ulevi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sema imekuokolea pesa nyingi ambazo ungejichanga unge kuwa na kakiwanja ka mtoto akikua ajenge
 
Ndege wafananao huruka pamoja. Tafuta kampani ya wanaokufanania.

Ni kawaida kwa walevi kuwa na marafiki walevi.

Ni kawaida kwa wezi kuwa na marafiki wezi.

Ni kawaida kwa waisiotumia pombe kuwa na marafiki wa aina hiyo

Isitoshe, hao marafiki zako walikuwa wanakupa nini cha maana zaidi ya kukusaidia kufuja pesa zako?

Tafuta kampani ya watakaokusaidia kusonga mbele na siyo "kula" pesa.
 
Concentrate kwenye matizi tu sasa unaishi kwa kuangalia mtu hizo mambo mi ndo sina nikisema sinywi sinywi nuna utakavyo.
 
mkuu mi siwezi kukutenga ilimradi mi unaninunulia wine zangu!
We hata unakunywa maji haina noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…