Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence)

Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence)

Mifumo ya cognitive machines ndio hiyo niliyokwambia AI, DA, ML, RPA. Ambayo uwezi define.

Sasa utatengeneza vipi mfumo kama hujui hata matumizi yenyewe ya cognitive machines.

Unataka nikwambie tengeneza mfumo wa reinforcement learning, wakati hujui hata Machine Learning ni kitu gani.

Kama umeshindwa kuelezea matumizi ya hizo technologies maana yake uwezi elewa hata namna ku pre-set algorithms kufanya tasks sahihi.

Hayo maswali yalikuwa na lengo la kujua uelewa wako wa cognitive machine na katika kujibu lazima ungeelezea na details za mifumo inayotumika sasa wewe unataka uambiwe utengeneze mfumo wa ku-detect patterns wakati hujui either hiyo ni sehemu ya (AI, ML, DA au RPA) maana hujui hata hivyo vitu vinavyofanya kazi.

Ombi lako ni sawa na mtu anaesema nipeleke uwanjani uone navyokimbia, wakati ujaonesha hata uwezo wa kutembea.
Fuatilia na hapa utajifunza kitu Meneja Wa Makampuni aliandika kitu. Labda unaweza kuanza kumheshimu.

Fuatilia na hapa utajifunza kitu Meneja Wa Makampuni aliandika kitu. Labda unaweza kuanza kumheshimu.

How many times have you been quoted ukitaka kujua quality ya paper yako hiko ndio kipimo. Kama nilivyokwambia you seem clever but over-ambitious.

Unfortunately I don’t get excited easily, unless by those whose work offer a new way of thinking au hata watu ambao elimu yao ya kawaida tu ila akiongea ukamsikiliza so eclectic kwenye hoja and gives depth analysis. Watu kama hao hata kama kaishia form six you can tell this persons reads or has done a lot of independent research (self education) on the subject.

Heck ata Michael Faraday ni self educated it’s what you offer which gives you academic respect.

Anyway good-luck na majukumu yako ya ‘peer reviewing’ like I said mimi ni nani nikubishie japo umeshindwa kuonyesha uelewa wako wa maswala ya AI ambayo apparently unaenda kukagua maandishi ya watu wengine.
 
Ulinisaidia sana kwenye thread yangu niliyoomba kujua sehemu za kupublish research zangu. Nakushukru sana kunitoa tongotongo leo hii nna research mbili nimezi publish.
Mimi nakuombea tu ubarikiwe, sababu nimefanya study za social science ningeweka ufanyie review nikuongezee credit
 
Mkuu hongera sana Mungu akubariki nawe pia. Mungu akuzidishie publication nyingi zaidi.
Ulinisaidia sana kwenye thread yangu niliyoomba kujua sehemu za kupublish research zangu. Nakushukru sana kunitoa tongotongo leo hii nna research mbili nimezi publish.
Mimi nakuombea tu ubarikiwe, sababu nimefanya study za social science ningeweka ufanyie review nikuongezee credit
 
Habari wanajamii forums,

Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence).

Hivyo kwa wanaopenda kufanya tafiti katika eneo la matumizi ya akili bandia kwenye mambo ya sayansi na uhandisi karibuni kutuma maombi yenu ya kuchapisha tafiti zenu katika jarida hili.

View attachment 3014045

Tovuti ya jarida: https://www.sciencedirect.com/journal/engineering-applications-of-artificial-intelligence

About the journal:
The International Journal of Intelligent Real-Time Automation
A journal of IFAC, the International Federation of Automatic Control Artificial Intelligence (AI) is playing a major role in the fourth industrial revolution and we are seeing a lot of evolution in various machine learning methodologies. AI techniques are widely used by the practicing engineer to solve a whole range of hitherto intractable problems. This journal provides an international forum for rapid publication of work describing the practical application of AI methods in all branches of engineering. Submitted papers should report some novel aspects of AI used for a real world engineering application and also validated using some public data sets for easy replicability of the research results.
Papers which do not respect the 4 following conditions will be desk-rejected without being sent to reviewers:
  • Papers on new metaphor-based metaheuristics are very rarely accepted by EAAI (see details on this in the guide online).
  • The abstract should clearly specify which is the contribution in AI and which is the application in engineering.
  • The use of undefined acronyms in the title and in the abstract is forbidden.
  • The papers must be formatted in single-column format.
Focal points of the journal include, but are not limited to innovative applications of:
  • Internet–of–things and cyber-physical systems
  • Intelligent transportation systems & smart vehicles
  • Big data analytics, understanding complex networks
  • Neural networks, fuzzy systems, neuro-fuzzy systems
  • Deep learning and real world applications
  • Self-organizing, emerging or bio-inspired system
  • Global optimization, Meta-heuristics and their applications: Evolutionary Algorithms, swarm intelligence, nature and biologically inspired meta-heuristics, etc.
  • Architectures, algorithms and techniques for distributed AI systems, including multi-agent based control and holonic control
  • Decision-support systems
  • Aspects of reasoning: abductive, case-based, model-based, non-monotonic, incomplete, progressive and approximate reasoning
  • Applications of chaos theory and fractals
  • Real-time intelligent automation, and their associated supporting methodologies and techniques, including control theory and industrial informatics
  • Knowledge processing, knowledge elicitation and acquisition, knowledge representation, knowledge compaction, knowledge bases, expert systems
  • Perception, e.g. image processing, pattern recognition, vision systems, tactile systems, speech recognition and synthesis
  • Aspects of software engineering, e.g. intelligent programming environments, verification and validation of AI-based software, software and hardware architectures for the real-time use of AI techniques, safety and reliability
  • Intelligent fault detection, fault analysis, diagnostics and monitoring
  • Industrial experiences in the application of the above techniques, e.g. case studies or benchmarking exercises
  • Robotics
Engineering Applications of Artificial Intelligence publishes:
  • Survey papers/tutorials
  • Contributed papers — detailed expositions of new research or applications
  • Case studies or software reviews — evaluative and descriptive reviews of existing available AI software systems, discussing the experience gained and lessons learnt from using or developing AI systems for engineering applications
  • IFAC EAAI Forum — problems arising from engineering practice, needing to be solved by somebody; solutions to problems discussed in this forum or elsewhere; critiques of a position or claim found in the literature
The Editors of Engineering Applications of Artificial Intelligence wish to inform authors that this journal will not publish papers that propose "novel" metaphor-based metaheuristics, unless the authors:
  1. present their method using the normal, standard optimization terminology;
  2. show that the new method brings useful and novel concepts to the field;
  3. motivate the use of the metaphor on a sound, scientific basis;
  4. present a fair comparison with other state-of-the-art methods using state-of-the-art practices for benchmarking algorithms.
For more details on the International Federation of Automatic Control (IFAC), visit their home page at http://www.ifac-control.org
Software publication
We invite you to convert your open source software into an additional journal publication in Software Impacts, a multi-disciplinary open access journal. Software Impacts provides a scholarly reference to software that has been used to address a research challenge. The journal disseminates impactful and re-usable scientific software through Original Software Publications which describe the application of the software to research and the published outputs.

Karibuni.
Mawasiliano yangu:
Una exp na akili bandia mkuu 🎊
 
Ulinisaidia sana kwenye thread yangu niliyoomba kujua sehemu za kupublish research zangu. Nakushukru sana kunitoa tongotongo leo hii nna research mbili nimezi publish.
Mimi nakuombea tu ubarikiwe, sababu nimefanya study za social science ningeweka ufanyie review nikuongezee credit
Haha....mbona kama kamchezo? different ids same member
 
Akili żako zinakutosha mwenyewe na hawa wanaokuamini.

Unadhani utaalamu wa kuwa reviewer ni wepesi kama unavyodhani.

Wewe hata nikikuuliza source ya data analytics ya maamuzi ya mradi wa kujenga ghorofa kama Birk Khalifa na unitajie five engineering software ambazo unaweza tumia kufanyia structure decision sidhani kama unaweza.

Embu taja kwanza main architecture software ya building design.

Acha huu ujinga wako.

Similarly huna unachojua ata kwenye oil and gas.

Matatizo ya Tanzania yanaanzia hapa kwenye uongo. Unakuta mtu hana uelewa wa mambo halafu anajisanifu mtaalamu.

Na mapoyoyo ambayo hayana uelewa na hiyo topic yanampa like; wakati kilichoandikwa ni ujinga mtupu.

Wewe maswala ya biashara ya Oil and Gas, development ya AI leo hujui.

Zaidi ya kuandika ujinga mtupu humu na kupewa likes na wajinga wenzako. Lakini una foundation wala technical knowledge ya hayo maswala.

Maandishi yako ya Oil and Gas wapuuzi wenzako wanayokupa likes yameja ujinga mtupu.

Wanaokupa likes wajinga watupu kwa sababu hawajui tu huo upuuzi ulioandika.
Kwangu mimi mafuta na gesi, maarifa, AI nayaona kama ni mambo ya kawaida sana.

Biashara ya mafuta na gesi wanafanya hata watu wa darasa la saba tusiwatishe watu. Sio kitu cha kuanza kuwaambia watu fulani kwamba hawawezi kushauri juu ya hiyo biashara.

Tusichukulie haya mambo ya AI kama jitu la kutisha sana ni mambo ya kawaida na tunayatumia kwenye shughuli zetu za kila siku.

Kuhusu kuandika makala hapa jamii forums, naandika makala zangu zieleweke na watanzania wote hata ambao hawajasoma sipo kwaajili ya kujivuna kwamba mimi ndio naweza kuandika sana kuliko wengine na wala kwangu mimi sipungukiwi na chochote mtu yeyote kunizidi kuandika kila mtu ana mtazamo wake na uwezo wake kwangu mimi hiyo ni nafasi kubwa ya kujifunza kwake.

Sipo hapa kutumia lugha ngumu kutishana juu ya elimu au maarifa fulani. Nipo hapa kujifunza, kutoa mawazo yangu sio kuficha, sipo kwaajili ya kulingishiana maarifa au elimu fulani, sipo na mtazamo huo, sipo kwaajili ya kutukana watanzania nipo kwaajili ya kuwaheshimu, lakini pia nipo kwaajili ya kuelimisha pale inapobidi lakini kwa lugha itakayo eleweka na kila mtu sio lugha zenu za vyuoni.

Sipo kwaajili ya kujivuna kuhusu professional fulani kwangu mimi wasomi wote wapo sawa uwe umesoma kozi fulani au fulani you are all equal kila mmoja anamtegemea mwenzake.

WATU WOTE NI SAWA
 
Nilifuta hizo post kwa sababu. Sasa sijui kitu kimekutuma u-quote halafu utake kuongelea mambo usiyo yafahamu.

Biashara ya mafuta internationally kila mtu anaweza fanya kwenye kichwa chako unadhani geopolitics ya mafuta na market structure ni rahisi hivyo.

Kwanini asilimia kubwa ya import ya mafuta yanayokuja Tanzania yananunuliwa India, wakati India yenyewe inanunua mafuta hayo hayo kutoka Saudi Arabia na nchi za M.E ambazo ni karibu na Tanzania.

Kwanini waagizaji wa Tanzania wasinunue M.E kupunguza shipping costs na kupata bei rahisi kutoka kwa supplying sources.

Uwezi jibu miaka 800

Na sina muda wa ku-entertain ujinga wako.

Ndio tuongee mambo ya AI

Nilifuta hizo post kwa sababu sikuona sababu ya kujibizana ujinga nikuache na audience yako.
 
Haha....mbona kama kamchezo? different ids same member
Hapana mimi sihusiani kabisa na Meneja wa makampuni, niliamua kumpa maua yake tu maana alinipa msaada ambao umenifanikishia vingi baada ya ku-publish research zangu kuna vitu vimefunguka.
nashindwa namna ya kuitafuta hiyo thread lakini huyu jamaa yupo vizuri roho safi na taaluma ipo.
 
maelezo hayajajitoshela umeandiak utazani wote tunafanya kazi na akili bandia au ndio ubandia
 
Back
Top Bottom