Haya elezea how data analytics works, hayo ni mambo basic kwenye cognitive machines.
Sijui Tanzania ila mambo ya AI sasa hivi kuelekea kwenye 5th industrial revolution nchi za wenzetu ni mandatory module. Muhimu wanafunzi kuelewa impact ‘cognitive machines& na madhara yake katika nafasi zao za kazi mbeleni.
Pretty much AI is still in its infancy, full of errors, kwa sasa ni popular kwenye repetitive tasks, kwenda mbele ni expensive main funders ni makampuni makubwa na mfanyakazi wa kesho lazima ujue abc za technical aspects how it works ili uweze kuisimamia na kufanya troubleshooting (at least concepts) kama course yako sio IT.
Sasa wewe una hata Phd, una maandishi yoyote kuhusu hiyo discipline, hujawai ajiriwa kwenye sector (not sure if you even know how write algorithms), halafu uwe ‘peer reviewer’ wa journals zilizoandikwa na scholars waliokuzidi uelewa.
Like I said siwezi kuingilia fantasy zako, kuna watu duniani wanaamini wao ni reincarnations wa Tesla, Einstein and so forth sasa watu kama hao utabishana nao vipi.
Alamsiki