Sasa jina lako tunaandika hili la Meneja Wa Makampuni au jingineBoss kama una andiko la AI unataka kupublish submit kwenye hii journal likifika muda wa kureview andika jina langu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jina lako tunaandika hili la Meneja Wa Makampuni au jingineBoss kama una andiko la AI unataka kupublish submit kwenye hii journal likifika muda wa kureview andika jina langu.
HOngera mkuuNi hiyo journal mkuu
Alichoandika mleta mada kina mkanganyiko sana.Tuache kudharau watu jamani,
Ahsante sana mkuuHOngera mkuu
Mkanganyiko upi mkuu tufanye marekebishoAlichoandika mleta mada kina mkanganyiko sana.
Hapo unakuja private message unapewa email addressSasa jina lako tunaandika hili la Meneja Wa Makampuni au jingine
Ila ni jambo la kawaida mkuuTuache kudharau watu jamani,
Sisi wengine huwa hatujali sana pesa zaidi tunajali utendaji mkuuHongera!
Naona kuna mdau humu anataka
Kujuwa unalipwaje!mshahara kiasi gani 😄
Ova
Hivi uko serious kabisa?Hapo unakuja private message unapewa email address
Mtu anayesubmit kazi na akaombwa kupendekeza reviewer(s) ni lazima awe anamjua huyo reviewer. Namaanisha anaujua wasifu wake (CV) ikiwa ni pamoja na uzoefu wake na weledi kwenye eneo husika la kitaaluma. Hii approach yako siielewei kabisa, anyway kila la kheri mkuu.Mkanganyiko upi mkuu tufanye marekebisho
Upo sawa mkuuMtu anayesubmit kazi na akaombwa kupendekeza reviewer(s) ni lazima awe anamjua huyo reviewer. Namaanisha anaujua wasifu wake (CV) ikiwa ni pamoja na uzoefu wake na weledi kwenye eneo husika la kitaaluma. Hii approach yako siielewei kabisa, anyway kila la kheri mkuu.
Mkuu tupo seriously unadhani tunatania hapa.Hivi uko serious kabisa?
Ahsante sana mkuuKilla la kheri. Kumbuka kwamba unawakilisha nchi yenye watu zaidi ya million 61. Piga kazi kwa bidii.
Mtu ambae huna hata ajira rasmi, huna Phd, huna field authority (expertise) ukafanye ‘peer review’ ya journals published by ‘science-direct’ one the major recommended reference source ya vyuo vikubwa duniani.
Na kuna watu wanaamini kabisa, wakati hata ukiulizwa hapa swali jepesi ya tofauti ya Artificial Intelligence, Machine Learning (ML), Data Analytics (DA) na Robotic Process Automation (RPA) definition tu zitakusumbua let alone their application in engineering.
How gullible are Tanzanians
![]()
Why is a PhD essential to become a peer-reviewer?
I am going through the process of becoming a peer-reviewer, while I am coming across every journal editor mentioning that being a doctorate is a minimum qualification, to be approached for reviewing. I have many peers who have had a good amount of author experience who are eager to don the...www.editage.com
Nenda kafanye research uone what it takes to become a ‘peer reviewer’ and if it’s possible to become one without a PhD, not only that you also need to have published a number of peered reviewed journals on the topic yourself or be field expert with long experience.
Extensive knowledge on the subject is a must before you can be considered as ‘peer review’ ndio maana in academic writing kuanzia level 9 kwenda juu vyuo vinavyojitambua wanataka if possible utumie references zote kutoka kwenye ‘peer reviewed’ journals ndio maandiko pekee wanachukulia yenye hadhi.
Sasa wewe hata tukikuuliza maswala ya AI humu kuelezea mtihani, huna Phd, huna ‘published peer reviewed journals’ hata moja; ndio Elsevier wakupe hiyo kazi.
View attachment 3014145
Kupitia website yao wanatangaza course ya ‘peer review’ lakini cheti aina maana umesajiliwa na kupata cheti only sio shida pia.
Sikubishi kwa sababu aiwezekani ila academically ujafikia vigezo wala kwenye ajira huna accomplishment za kuwa na sifa ya kuwa ‘peer reviewer’, watu wanaofanya hivyo ni authority katika hiyo discipline husika.
Wewe hata maswali mepesi ya AI inavyofanya kazi na kutofautisha mambo niliyokuuliza awali uwezi jibu.
Huko mbele kwenye maswali magumu ndio kabisa sidhani kama utaweza jibu; mfano you do know kwa sasa major companies ndio zina fund researches na kununua AI, hiyo technology sio kwamba unaenda sokoni na kununua tu. Kwenye kununua orders zinatolewa kulingana industry usage na specifics algorithm za kampuni inazotaka.
Ni hivi ku review hayo mambo unahitaji kuwa mtaalamu wa karibu sana na sector husika.
Ebu tueleze kuna status ngapi za engineering firms na level zipi zinatumia AI technology kwa kiasi kikubwa kwa sasa na kwanini?
Embu acha utoto, ungekuwa unatumia muda wako kufikiria ni kitu gani cha kufanya halali unaonekana una uwezo wa kutoboa na kutengeneza maisha mazuri tu kwa sababu upo informed kiasi.
Shida yako akili umewekeza kwenye mbinu za ulaghai tu badała ya kufikiria fursa za kuzalisha kihalali something tells me you are clever, only that akili yako umewekeza kwenye mambo ya hovyo and other over-ambitious goals kwa uwezo wako.
Unaenda kuokota certificate mitandoni na ku-edit unatuona sisi mapoyoyo kweli.