Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence)

Fuatilia na hapa utajifunza kitu Meneja Wa Makampuni aliandika kitu. Labda unaweza kuanza kumheshimu.

 
How many times have you been quoted ukitaka kujua quality ya paper yako hiko ndio kipimo. Kama nilivyokwambia you seem clever but over-ambitious.

Unfortunately I don’t get excited easily, unless by those whose work offer a new way of thinking au hata watu ambao elimu yao ya kawaida tu ila akiongea ukamsikiliza so eclectic kwenye hoja and gives depth analysis. Watu kama hao hata kama kaishia form six you can tell this persons reads or has done a lot of independent research (self education) on the subject.

Heck ata Michael Faraday ni self educated it’s what you offer which gives you academic respect.

Anyway good-luck na majukumu yako ya ‘peer reviewing’ like I said mimi ni nani nikubishie japo umeshindwa kuonyesha uelewa wako wa maswala ya AI ambayo apparently unaenda kukagua maandishi ya watu wengine.
 
Ulinisaidia sana kwenye thread yangu niliyoomba kujua sehemu za kupublish research zangu. Nakushukru sana kunitoa tongotongo leo hii nna research mbili nimezi publish.
Mimi nakuombea tu ubarikiwe, sababu nimefanya study za social science ningeweka ufanyie review nikuongezee credit
 
Mkuu hongera sana Mungu akubariki nawe pia. Mungu akuzidishie publication nyingi zaidi.
 
Halafu wewe nilikudukuwa na kukupata mpaka linkedin jina lako na picha zako
Sema nimesahau kilakitu mambo mengi kichwani
Lakini umesoma vizuri sema bongonyoso
Hongera mkuu, ramani za bongo zinahitaji maandalizi lasivyo unajikuta umepoteza direction ya unakotakiwa kufika.
 
Una exp na akili bandia mkuu 🎊
 
Haha....mbona kama kamchezo? different ids same member
 
Kwangu mimi mafuta na gesi, maarifa, AI nayaona kama ni mambo ya kawaida sana.

Biashara ya mafuta na gesi wanafanya hata watu wa darasa la saba tusiwatishe watu. Sio kitu cha kuanza kuwaambia watu fulani kwamba hawawezi kushauri juu ya hiyo biashara.

Tusichukulie haya mambo ya AI kama jitu la kutisha sana ni mambo ya kawaida na tunayatumia kwenye shughuli zetu za kila siku.

Kuhusu kuandika makala hapa jamii forums, naandika makala zangu zieleweke na watanzania wote hata ambao hawajasoma sipo kwaajili ya kujivuna kwamba mimi ndio naweza kuandika sana kuliko wengine na wala kwangu mimi sipungukiwi na chochote mtu yeyote kunizidi kuandika kila mtu ana mtazamo wake na uwezo wake kwangu mimi hiyo ni nafasi kubwa ya kujifunza kwake.

Sipo hapa kutumia lugha ngumu kutishana juu ya elimu au maarifa fulani. Nipo hapa kujifunza, kutoa mawazo yangu sio kuficha, sipo kwaajili ya kulingishiana maarifa au elimu fulani, sipo na mtazamo huo, sipo kwaajili ya kutukana watanzania nipo kwaajili ya kuwaheshimu, lakini pia nipo kwaajili ya kuelimisha pale inapobidi lakini kwa lugha itakayo eleweka na kila mtu sio lugha zenu za vyuoni.

Sipo kwaajili ya kujivuna kuhusu professional fulani kwangu mimi wasomi wote wapo sawa uwe umesoma kozi fulani au fulani you are all equal kila mmoja anamtegemea mwenzake.

WATU WOTE NI SAWA
 
Nilifuta hizo post kwa sababu. Sasa sijui kitu kimekutuma u-quote halafu utake kuongelea mambo usiyo yafahamu.

Biashara ya mafuta internationally kila mtu anaweza fanya kwenye kichwa chako unadhani geopolitics ya mafuta na market structure ni rahisi hivyo.

Kwanini asilimia kubwa ya import ya mafuta yanayokuja Tanzania yananunuliwa India, wakati India yenyewe inanunua mafuta hayo hayo kutoka Saudi Arabia na nchi za M.E ambazo ni karibu na Tanzania.

Kwanini waagizaji wa Tanzania wasinunue M.E kupunguza shipping costs na kupata bei rahisi kutoka kwa supplying sources.

Uwezi jibu miaka 800

Na sina muda wa ku-entertain ujinga wako.

Ndio tuongee mambo ya AI

Nilifuta hizo post kwa sababu sikuona sababu ya kujibizana ujinga nikuache na audience yako.
 
Haha....mbona kama kamchezo? different ids same member
Hapana mimi sihusiani kabisa na Meneja wa makampuni, niliamua kumpa maua yake tu maana alinipa msaada ambao umenifanikishia vingi baada ya ku-publish research zangu kuna vitu vimefunguka.
nashindwa namna ya kuitafuta hiyo thread lakini huyu jamaa yupo vizuri roho safi na taaluma ipo.
 
maelezo hayajajitoshela umeandiak utazani wote tunafanya kazi na akili bandia au ndio ubandia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…