FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Inawezekana ulicho google kaandika huyu.hiyo heading NIMETHIBITISHA... nilidhani ni wewe ndio umefanya utafiti...kumbe umegugo...kweye sanaa tunasema wizi wa kazi za wasanii.
MkuuBaada ya kupitia content za hiyo post namba 54 nimepata jibu. Ni kwamba 'time and space are quantized', hii inamaana ya kwamba kuna kipimo cha mwisho kabisa cha chini cha 'muda'(time) na 'nafasi(space) ambapo havigawanyiki tena chini ya hapo. Hapa ni sawa na kusema kama 'xy' ndio kipimo cha chini kabisa kinachowezekana cha space time basi huwezi kuwa na 0.5xy wala 0.4xy au kiwango kingine chochote ambacho sio whole, ila tu unaweza ukawa na xy,2xy,3xy,3xy...and so on. Hivyo hiyo hoja ya ku-move 'an infinitely small distance before you move any distance' inakuwa invalid
MkuuNadhani hiyo proof iko aimed at the wrong target, ni sawa kwamba the sum of infinite halves ni 1, lakini hiyo sio proof ya kudiscredit implications za hiyo philosophy, hiyo proof imetumika tu kukwepa kujibu swali la msingi la hiyo falsafa.
Jibu sahihi la hiyo philosophy lilikuja kupatikana katika theory za relativity na ndani yake pakiwa na ‘Quantum mechanics’, infact the very word ‘quantum’ imetokana na neno ‘quanta’ ambayo ina maana ya ‘a unit’. Hii maana yake ni kwamba ulimwengu (reality as we perceive it) kama tuijuavyo haina intermediaries katikati, units za matter/energy zipo katika packets au units (n, 2n, 3n, 4n, 5n...etc) na hakuna (1/2n, 1/4n, 1/8n...) ambao ndio ulikuwa msingi wa falsafa hiyo ya Zeno.
Kwahiyo tatizo si kwamba hiyo falsafa si kweli katika uelewa wa kawaida, ila tu ni kwamba reality as we know ’IS NOT REAL’! Hiyo falsafa imebase katika preknowledge kwamba the world is REAL, which it isn’t, and the perceived reality ina comformity na kanuni za kihisabati, ndio maana hata wewe umeweza kuonesha counter arguement yako kwa hisabati na kuiondolea maana hiyo falsafa, ila the same mathematics inaweza ikarudisha the same conclusion kwamba the ’real’ world isn’t real.
Mfano,nikuambia ‘Space’ na ‘time’ vinaweza kukunjwa kama shuka utanielewa? Hii itakuwa ni reality au ndoto? Ofcourse hiyo itakuwa kama ndoto tu, but that is the reality!
Mfano nikikuambia mtu akipanda treni ambalo linakimbia kwa speed ya mwanga na akakaa humo ndani ya treni kwa muda wa wiki moja, siku akishuka baada ya hiyo wiki moja atakuta imepita miaka 100 na watu wote aliowaacha wamshakufa, ila kwake ni wiki moja tu, utaamini au utaona hiyo ni kama ndoto tu? Ila that is the real REALITY!
Nikikuambia ‘Quantum particles’ zinauwezo wa kurudisha muda nyuma (rewind) ili kubadilisha matokea ya awali ili yaendane na uhalisia mpya (quantum correction kwenye ‘delayed choice double slit experiments) utaona ni kitu kinachowezekana au utaona ni ndoto tu? But that is the reality na tunaona katika majaribio ya kimaabara kwamba ndivyo ilivyo!
Mfani nikikuambia ‘a quantum particle’ inaweza ikawa katika sehemu mbili kwa wakati mmoja, yaani kutu kimoja kikawa katika sehemu mbili kwa muda huo huo we unaona hicho ni kitu cha ‘reality’ au ni ndoto tu? Lakini huo ndio uhalisia tuliona nao, so inprinciple the world is only real if we agree kuredefine maana ya reality.
Point is, implication ya hiyo falsafa ni ukweli mtupu, the world is not ‘REAL’ kwa tafsiri ya ‘reality’ tuliyonayo, japo falsafa yenyewe ina mapungufu na haiwezi kuhold water kihisabati kama ulivyoonyesha.
Anyway unaonekana una uelewa sana, we may proceed
MkuuThought experiment.
Tutumie AI tutengeneze simulation ndani yake tuweke mtu(katuni) ambaye kwenye core program yake aamini kuwa yeye ni mtu halisi na ameumbwa na Mungu na yupo katika dunia hiyo anaishi...halafu kwenye hiyo simulation tuweke character mwingine halafu kwenye core program yake ajue ukweli kuwa yeye yumo ndani ya simulation.. Unadhani akienda kumuambia yule character wa kwanza kuwa yeye sio real atakubali??
Kwamfano kuna tofauti gani ya sisi kuwa real au kuwa ndani ya game ila tukaaminishwa kuwa tuko hai?ila kuna watu wanatucheza??
Kwasasa binadamu tunatengeneza watu ndani ya game lakini wanakuwa made of electronic signals sasa Lets say watu 'halisia'/aliens walikuwepo miaka billioni iliyopita hivyo wakapata technolojia kubwa ya kutengeneza game ambalo watu wake wako kama ndani ya uhalisia yani wana damu na nyama na wanapumua O² kama uhalisia instead of electronic signals..
Hao watu watakuwa wanatuangalia kwenye screen zao jinsi tunavyobishana kuwa tuko real kumbe wanatucheza..
Inshort huwezi kuprove au kudisprove kuwa hii ni reality au simulation..
Inaweza kuwa tumo ndani ya game halafu Mungu na malaika zake ndo walitengeneza game wanatucheza.
Your genius 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏Sina maana ya kubisha, niwie radhi kama umenielewa hivyo
Ila nimeruhusu tu ufahamu wangu kwa kile ulichojaribu kuzungumzia
Nimechukua mfano uliotoa na nimejaribu kuleta kwenye uhalisia, mfano:
Tuseme naishi kigoma mwisho wa reli, nikiamua kutembea kwa miguu kutoka huko mapaka dar es salaam na kurudi kwa miguu, kama niliacha watu wamepanda maindi basi nitakuta hata kuvuna wamesha vuna kulinga na mwendo kasi niliotumia na mda niliopoteza
Lakini kama nikitumia ndege ambayo ni usafiri wa haraka japo haufanani na kifaa hicho cha kuwaziwa kinachotembea kwa spidi ya mwanga, bado nitakuta wenyeji hata chakula cha mchana yawezakana kwa siku hiyohiyo hawajala
Sasa basi ninachojaribu kusema ni kwamba maumbile ya mtu yanahusika vipi na mwendo kasi wa kitu au kifaa.!?
Kwamba nikipanda hicho kitu metabolisimu isimame kwenye mwili ila ya wengine iendelee..!? Naona labda mfano hauendani na uhalisia au jaribu kufafanua zaidi ndugu
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
We jamaaHiyo quantum physics ndio mnaotumia kusema hakuna Mungu, leo inawaambia dunia haipo, kesho mtagundua kuwa ninyi wenyewe hampo!!!!
🙏🙏🙏😂😂😂😂 Genius sana weweMIMI SIJASOMA ILA NIMEELEWA ILA SIJASOMA
‘Time and space canvas can be bent’. Maana yake ni kama kuchukua shortcut through time, it seems unreal, YES! But our world isn’t real! Hivyo katika speed hiyo, muda wako unaenda taratibu, na mwili wako unarespond kwa passage of time, na uta age kwa wiki moja tu, wakati nje ya canvas yako ya spcae-time muda utaenda kawaida , na miaka 100 itapita.. TIME IS AN ILLUSION, and so is everthing connected to it.Sina maana ya kubisha, niwie radhi kama umenielewa hivyo
Ila nimeruhusu tu ufahamu wangu kwa kile ulichojaribu kuzungumzia
Nimechukua mfano uliotoa na nimejaribu kuleta kwenye uhalisia, mfano:
Tuseme naishi kigoma mwisho wa reli, nikiamua kutembea kwa miguu kutoka huko mapaka dar es salaam na kurudi kwa miguu, kama niliacha watu wamepanda maindi basi nitakuta hata kuvuna wamesha vuna kulinga na mwendo kasi niliotumia na mda niliopoteza
Lakini kama nikitumia ndege ambayo ni usafiri wa haraka japo haufanani na kifaa hicho cha kuwaziwa kinachotembea kwa spidi ya mwanga, bado nitakuta wenyeji hata chakula cha mchana yawezakana kwa siku hiyohiyo hawajala
Sasa basi ninachojaribu kusema ni kwamba maumbile ya mtu yanahusika vipi na mwendo kasi wa kitu au kifaa.!?
Kwamba nikipanda hicho kitu metabolisimu isimame kwenye mwili ila ya wengine iendelee..!? Naona labda mfano hauendani na uhalisia au jaribu kufafanua zaidi ndugu
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kama kila kitu ni simulation hivyo sisi ni game character wa advanced civilization, au sisi tumekuwa advance tumegundua kila kitu mpaka tumekuwa bored hivyo tunaamua kuingia kwenye simulation game tupate experience,‘Time and space canvas can be bent’. Maana yake ni kama kuchukua shortcut through time, it seems unreal, YES! But our world isn’t real! Hivyo katika speed hiyo, muda wako unaenda taratibu, na mwili wako unarespond kwa passage of time, na uta age kwa wiki moja tu, wakati nje ya canvas yako ya spcae-time muda utaenda kawaida , na miaka 100 itapita.. TIME IS AN ILLUSION, and so is everthing connected to it.
Haya ninayosema yalikuwa predicted through theories, na phsical experiments zimethibitish. It is bizarre, yes, but it is what it is.
Ndio mbinguni i presume, what a beautiful place and feeling for consciouness to be finally awake in reality from a long slumber, Gracious Lord!!!, trueeely, its heaven!!Ukifa ndo unakua umestuka sasa kwenye hii ndoto.. Yaan wale waliokufa now wanaendelea na maisha yao mengine halisia
Hii English faza kama bhekhamNdio mbinguni i presume, what a beautiful place and feeling for consciouness to be finally awake in reality from a long slumber, Gracious Lord!!!, trueeely, its heaven!!
Blessed are the awakened souls…
Kuna mambo bado ya hayajafanyiwa utafiti wa wakutosha kuhusu uduara wa dunia.... Hebu chuku suala la maji ya mito mirefu dunia ni , maji hutiririka vile vile ...Mimi naamini ukiwa nje ya dunia inaonekana kama duara lakini ukiwa ndani mwake kunakuwa na tabia tofautiwakati nasoma kuna kipindi niliona shule/elimu ni kama imani,ukiamini/kukubaliana na unachofundishwa unaweza kufanikiwa.Ukisindwa kukielewa unaonekana mjinga.Kuhusu dunia kuwa oval,kuna kitabu nilisoma miaka mingi kwamba kama dunia ingekuwa flat,fikiria meza kubwa,shika tochi mulika juu ya meza.Kama dunia ingekuwa flat basi jua lingekuwa linaonekama mara moja maeneo yote ya dunia na kusingekuwa na time difference kati ya maeneo na maeneo.Kusingekuwa na maeneo ya dunia unakuta wakati huku ni mchana kwa wengine ni usiku,hii kitu haiwezekani kama dunia ni flat.
reason nyingine ya dunia kuwa oval in shape,ukiwa kando ya bahari kama kuna meli itaondoka kuelekea mbali,kama dunia ingekuwa flat meli hiyo ilitakiwa iendelee kuonekana hata ikiwa mbali kwa kutumia darubini,lakini meli hupotea kabisa.Hii inaonyesa dunia siyo flat.Kwa evidence hizo mbili nilikubaliana na hiyo concept mimi binafsi kwamba dunia siyo flat.