grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Zeno paradox hii.
《Caprichar o teu sorriso》
《Caprichar o teu sorriso》
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku nilikuwa naota halafu nikajistukia kwamba naota, sasa shida ikawa kujizuia nisiamke, maana nilikuwa ndani ya Maybach na mtoto mzuri, basi kwa zile sekunde kama 100 hivi nilijitahidi kumake the most of it, acha tukuna kitu kinaitwa lucid dreams yan unakuwa unaota then still upo ndani ya ndoto na ukajuaa kabixa apa na ota 100% .kuyajua yote ni lazima upoteze mwili wako yan ufee, roho ya mwanadam limitation yake ipo kwenye jumba ilo yan mwili
Nadhani hiyo proof iko aimed at the wrong target, ni sawa kwamba the sum of infinite halves ni 1, lakini hiyo sio proof ya kudiscredit implications za hiyo philosophy, hiyo proof imetumika tu kukwepa kujibu swali la msingi la hiyo falsafa.Kwako mtoa mada:
Hiyo kitu uliyoandika wewe sio wa kwanza kuna greek philosopher aliitwa Zeno alikuja na hiyo paradox.
Alisema mfano ili mtu asafiri 1km itabidi kwanza asafiri nusu yake..kwahiyo akisafiri nusu atakuwa amebakiza 1/2km na ili aisafiri hiyo 1/2km iliyobakia itabidi kwanza aisafiri nusu yake kwahyo atakuwa amebakiza 1/4km..ili aisafiri 1/4 km iliyobakia itabidi aisafiri nusu yake ambayo ni 1/8km.... Na hii process itaendelea milele kwasababu kuna infinite halves between two points.
Kwahyo Zeno akasema motion is impossible or just an illusion.
From a philosophical POV anaweza kuwa sahihi lakini mathematically yuko flawed.
Mathematically unaweza kumpinga kwa njia nyingi ikiwemo calculus.. Lakini ngoja Nitumie njia nyepesi ambayo wengi wataielewa...ALGEBRA
Huyo mtu anatembea umbali wa 1km lakini according to zeno hawezi kufika kwasababu aliamini Sum ya infinite halves haiwez kuwa moja yani:
1/2+1/4+1/8+1/16+.....∞ haiwezi kuleta moja
Hivyo
Sum=1/2+1/4+1/8+1/16+.....∞
Sasa
Let sum be S
S=(1/2+1/4+1/8+1/16+.....∞ )
2×S = 2× (1/2+1/4+1/8+1/16+.....∞ )
2×S = 1+ 1/2+1/4+1/8+1/16+.....∞
2×S = 1 + (1/2+1/4+1/8+1/16+.....∞)
2×S = 1+ S
2S = 1+S
2S -S = 1
S=1
Therefore Sum = 1
Hivyo kumbe infinite sums of halves can converge to one Value
Kwahiyo mtu atafika and motion is possible not just an illusion.
Unaweza kutuonyesha uhalisia wa hiyo mifabo ukiyo itoa ili tupate kukuelewa uzuri ?!Nadhani hiyo proof iko aimed at the wrong target, ni sawa kwamba the sum of infinite halves ni 1, lakini hiyo sio proof ya kudiscredit implications za hiyo philosophy, hiyo proof imetumika tu kukwepa kujibu swali la msingi la hiyo falsafa.
Jibu sahihi la hiyo philosophy lilikuja kupatikana katika theory za relativity na ndani yake pakiwa na ‘Quantum mechanics’, infact the very word ‘quantum’ imetokana na neno ‘quanta’ ambayo ina maana ya ‘a unit’. Hii maana yake ni kwamba ulimwengu (reality as we perceive it) kama tuijuavyo haina intermediaries katikati, units za matter/energy zipo katika packets au units (n, 2n, 3n, 4n, 5n...etc) na hakuna (1/2n, 1/4n, 1/8n...) ambao ndio ulikuwa msingi wa falsafa hiyo ya Zeno.
Kwahiyo tatizo si kwamba hiyo falsafa si kweli katika uelewa wa kawaida, ila tu ni kwamba reality as we know ’IS NOT REAL’! Hiyo falsafa imebase katika preknowledge kwamba the world is REAL, which it isn’t, and the perceived reality ina comformity na kanuni za kihisabati, ndio maana hata wewe umeweza kuonesha counter arguement yako kwa hisabati na kuiondolea maana hiyo falsafa, ila the same mathematics inaweza ikarudisha the same conclusion kwamba the ’real’ world isn’t real.
Mfano,nikuambia ‘Space’ na ‘time’ vinaweza kukunjwa kama shuka utanielewa? Hii itakuwa ni reality au ndoto? Ofcourse hiyo itakuwa kama ndoto tu, but that is the reality!
Mfano nikikuambia mtu akipanda treni ambalo linakimbia kwa speed ya mwanga na akakaa humo ndani ya treni kwa muda wa wiki moja, siku akishuka baada ya hiyo wiki moja atakuta imepita miaka 100 na watu wote aliowaacha wamshakufa, ila kwake ni wiki moja tu, utaamini au utaona hiyo ni kama ndoto tu? Ila that is the real REALITY!
Nikikuambia ‘Quantum particles’ zinauwezo wa kurudisha muda nyuma (rewind) ili kubadilisha matokea ya awali ili yaendane na uhalisia mpya (quantum correction kwenye ‘delayed choice double slit experiments) utaona ni kitu kinachowezekana au utaona ni ndoto tu? But that is the reality na tunaona katika majaribio ya kimaabara kwamba ndivyo ilivyo!
Mfani nikikuambia ‘a quantum particle’ inaweza ikawa katika sehemu mbili kwa wakati mmoja, yaani kutu kimoja kikawa katika sehemu mbili kwa muda huo huo we unaona hicho ni kitu cha ‘reality’ au ni ndoto tu? Lakini huo ndio uhalisia tuliona nao, so inprinciple the world is only real if we agree kuredefine maana ya reality.
Point is, implication ya hiyo falsafa ni ukweli mtupu, the world is not ‘REAL’ kwa tafsiri ya ‘reality’ tuliyonayo, japo falsafa yenyewe ina mapungufu na haiwezi kuhold water kihisabati kama ulivyoonyesha.
Anyway unaonekana una uelewa sana, we may proceed
Well, moja ya majaribio yaliyofanyika kuitest theory ya relativity, ilikuwa ni ile ya kudhibitisha kama kweli kitu kikiwa kinaenda kwa speed basi muda wake unaenda taratibu (huo mfano wa treni), walichofanya ni walichukua saa mbili za atomic (atomic clocks) ambazo ziko very precise and accurate, moja wakaipandisha kwenye ndage na ingine ikabakia ardhini, basi ile ndege ikaruka na kwenda max speed ya karibu 500km/hr, ile ndege ilipotua wakazichukua zile saa mbili na kuzilinganisha, wakaja kukuta ile iliyotokankwenye ndege ipo nyuma kidogo (a micro difference), japo ni tofauti kidogo sana ambazo saa za kawaida zisinheweza kupima, ila saa za atomic ziliweza kupima na kuonyesha utafauti huo mdogo.Unaweza kutuonyesha uhalisia wa hiyo mifabo ukiyo itoa ili tupate kukuelewa uzuri ?!
Pili, nahisi au naona mnalitumia vibaya tamko ndoto na kukukwepa nganisha na vitu vya kufikirika au mawazo ya watu jambo ambalo kwa ndoto ni hali nyingine kabisa ambayo mtu hawezi kujichagukia cha kuota bali hutokea, na ndio maana kuna wajuzi wa kutafsiri ndoto. Yaani ndoto huakisi hali fuoani na kubeba maana ya kile ulicho kiota japo kuna ndoto za kweli na ndoto za uongo.
unatakiwa urelax tu na ungefanya kila unachotaka unakuwa unapanga ww ukikaza tu muscles utimam wa mind unarudiKuna siku nilikuwa naota halafu nikajistukia kwamba naota, sasa shida ikawa kujizuia nisiamke, maana nilikuwa ndani ya Maybach na mtoto mzuri, basi kwa zile sekunde kama 100 hivi nilijitahidi kumake the most of it, acha tu
ndoto inaitaji memory,emotion na subconsious mind. ilo baada ya mtu kufaa ni high trainig ni mambo yaIli ndoto iitwe ndoto inahitaji nini na nini na nini ? Yaani ni vipi vijenzi vya ndoto ?
Unatumia nini kujua kinachoendelea baada ya mtu kufa ?
Kwahiyo kama tofauti ni ndogo sana, kwanini wamefikia hitimisho juu ya jambo ambalo haliwesekani kufikiwa, huoni kwamba hitimisho lao ni la uongo na ni dhana tu ?Well, moja ya majaribio yaliyofanyika kuitest theory ya relativity, ilikuwa ni ile ya kudhibitisha kama kweli kitu kikiwa kinaenda kwa speed basi muda wake unaenda taratibu (huo mfano wa treni), walichofanya ni walichukua saa mbili za atomic (atomic clocks) ambazo ziko very precise and accurate, moja wakaipandisha kwenye ndage na ingine ikabakia ardhini, basi ile ndege ikaruka na kwenda max speed ya karibu 500km/hr, ile ndege ilipotua wakazichukua zile saa mbili na kuzilinganisha, wakaja kukuta ile iliyotokankwenye ndege ipo nyuma kidogo (a micro difference), japo ni tofauti kidogo sana ambazo saa za kawaida zisinheweza kupima, ila saa za atomic ziliweza kupima na kuonyesha utafauti huo mdogo.
Sasa tafuta majibu, ukipata nistue tuje tuendelee hapa tulipoishia.ndoto inaitaji memory,emotion na subconsious mind. ilo baada ya mtu kufaa ni high trainig ni mambo ya
Mshana Jr
ni theory tu hamna kiumbe anae jua baada ya kifo nini kinafuata japokuwa zingine zinamashikooSasa tafuta majibu, ukipata nistue tuje tuendelee hapa tulipoishia.
Zipi zina mashiko.ni theory tu hamna kiumbe anae jua baada ya kifo nini kinafuata japokuwa zingine zinamashikoo
Tofauti ni ndogo sababu huwezi kwenda speed hata kukaribia ya Mwanga, imagine Mwanga unaenda kwa speed ya (3 x 10^8 m/s), convert hiyo to km/hr uone jinsi ilivyovigumu kufikia hata a fraction of it, ukiweza hata kukaribia tu, the difference will be huge and noticeableKwahiyo kama tofauti ni ndogo sana, kwanini wamefikia hitimisho juu ya jambo ambalo haliwesekani kufikiwa, huoni kwamba hitimisho lao ni la uongo na ni dhana tu ?
Speed ya mwanga ilipatikana vipi na je kuna kifaa kinachoweza kusafiri kwa speed ya mwanga ?
Sasa kwanini wamefikia hitimisho kwa jambo ambalo haliwezi kufikiwa ? Huoni hapo ni kujidanganya na kutumia akili vibaya ?Tofauti ni ndogo sababu huwezi kwenda speed hata kukaribia ya Mwanga, imagine Mwanga unaenda kwa speed ya (3 x 10^8 m/s), convert hiyo to km/hr uone jinsi ilivyovigumu kufikia hata a fraction of it, ukiweza hata kukaribia tu, the difference will be huge and noticeable
Fafanua maelezo haya tafadhali.Kwasababu hata 'reality' tu is an illusion hata wale wachezaji wa kwenye game kama GTA wao wanadhani wako real katika ulimwengu wao...sasa wewe ukiprove kuwa hawako real utakuwa umeprove kuwa huu ulimwengu ni real