Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msizarau mawazo ya huyu jamaa. Kuna school of thought inasema inawezekana kabisa kuna system flani ndio inatuongoza au inaongoza watu na vitu vyote humu duniani.haya tuyaonayo na tuyafanyayo ni sawa na mtu yupo ndotoni na kuna siku kila mtu ataamka na kukuta hali nyingine kabisa!. Filamu ya MATRIX imegusia theory hii kidogo.
Tunakua tunaota ndani ya ndoto
Tunakua tunaota ndani ya ndoto
Ukifa ndo unakua umestuka sasa kwenye hii ndoto.. Yaan wale waliokufa now wanaendelea na maisha yao mengine halisiaHiyo tukifa ndio tunaamka tunakuta mambo mengine au?je walokufa wapo sehemu mpya tayari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye link ya kudownload movie ya matrix anipatieMsizarau mawazo ya huyu jamaa. Kuna school of thought inasema inawezekana kabisa kuna system flani ndio inatuongoza au inaongoza watu na vitu vyote humu duniani.haya tuyaonayo na tuyafanyayo ni sawa na mtu yupo ndotoni na kuna siku kila mtu ataamka na kukuta hali nyingine kabisa!. Filamu ya MATRIX imegusia theory hii kidogo.
Ukifa ndo unakua umestuka sasa kwenye hii ndoto.. Yaan wale waliokufa now wanaendelea na maisha yao mengine halisia
kuna kitu kinaitwa lucid dreams yan unakuwa unaota then still upo ndani ya ndoto na ukajuaa kabixa apa na ota 100% .kuyajua yote ni lazima upoteze mwili wako yan ufee, roho ya mwanadam limitation yake ipo kwenye jumba ilo yan mwilihii kama ni kweli ni taarifa nzuri kwangu 😂😂😂
Na hapo ndipo wanasayansi waanapo umiza ndonga...hii energy inatoka wapi??Mleta mada tofautisha infinitesimal na infinite. Infinite is very large in any direction, infinitesimal ni very small towards one point. Hapo unapopunguza distance unaelekea infinitesimal sio infinite, vile vile kwa time. Sijapinga mawazo yako, nimerekebisha kidogo. From quantum physics point of view the physical world is nothingness - ni energy tu. Hii energy imeshikiliwa na force which (to believers is God). So if you reduce your distance to infinitesimal amount you end up with nothing but energy, but through the power of God we have the physical world from that nothing
Yees.Na hapo ndipo wanasayansi waanapo umiza ndonga...hii energy inatoka wapi??
God exists!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hivi watu hizi pumba huwa mnajifunzia wapi??Mleta mada tofautisha infinitesimal na infinite. Infinite is very large in any direction, infinitesimal ni very small towards one point. Hapo unapopunguza distance unaelekea infinitesimal sio infinite, vile vile kwa time. Sijapinga mawazo yako, nimerekebisha kidogo. From quantum physics point of view the physical world is nothingness - ni energy tu. Hii energy imeshikiliwa na force which (to believers is God). So if you reduce your distance to infinitesimal amount you end up with nothing but energy, but through the power of God we have the physical world from that nothing
Ili ndoto iitwe ndoto inahitaji nini na nini na nini ? Yaani ni vipi vijenzi vya ndoto ?kuna kitu kinaitwa lucid dreams yan unakuwa unaota then still upo ndani ya ndoto na ukajuaa kabixa apa na ota 100% .kuyajua yote ni lazima upoteze mwili wako yan ufee, roho ya mwanadam limitation yake ipo kwenye jumba ilo yan mwili
Huyu bwandugu amebase argument yake kwenye Zeno's paradox(motion is an illusion) ambayo ishajibiwa zamani tu kupitia calculus.p { margin-bottom: 0.1in; line-height: 120%; }a:link { }
Principles of calculus make use of infinitesimals to come with deductions about wholes. I mean your reasoning is just shallow and, intentionally, screwed-up to play with the minds of fools!
Sayansi ni maelezo juu ya hii physical world kuhusu jinsi,kwanini na kivipi inavyofanya kazi kwa kutumia scientific methods of proof..Kwani Imani na Sayansi ipi ina ukweli?
Hiyo YouTube account imefutwa kwahyo iyo video haipo.