NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

Unauhakika kuwa unachofanya ni wewe umepanga au umepangiwa??kwasababu hata characters kwenye game wanafanya mambo kwa kupangiwa ila wao wanadhani ndo wamepanga
QUOTE="Jurjani, post: 35459213, member: 483599"]
Naona hutaki kuelewa, nakuuliza swali, ili kitu kihisi kinatakiwa kiwe na sofa gani ? Maana naona unaandika bila kufikiri.
hili swali mm ndo nilikuuliza umenigeuzia tena...ila kuhisi ni kurespond to external stimulus... Kitu ambacho hata machine zinaweza

ungeweza lakini hukufanya kwasababu aliyekuprogram hakutaka uache kujadiliana namimi ila amekupa illusion tu kuwa una uwezo wa kuacha ila kiuhalisia unafanyo ulichopangiwa

ok kama una amini uwepo wa Mungu...je Mungu anaijua future yako?
[/QUOTE]
😃😃😃
 
Haya nimekujibu

Thibitisha

Again unaundermine uwezo wa AI...kitu kikiwa preprogrammed kuamini kitu fulani ni ngumu kukiyumbisha kama wewe ulivyokuwa programmed na aliyekutengeneza kuwa wewe ni halisia...yawezekana hata hapa nachati na roboti...unaweza kunithibitishia wewe ni mtu halisia??

Sasa kama anajua kesho utaenda kanisani kesho ukienda kanisani utasemaje kuwa wewe ndo umepanga kwenda wakati ni kama unacheza igizo na unafata script
aisee... uko well informed mzee
 
Unaweza kutueleza ilikuwaje mpaka muda ukabuniwa na mwanadamu ?

Sasa hayo majira si ndio Muda wenyewe kaka ?

Usiku na mchana,au jua vimemkuta mwanadamu au amevikuta ?

Ahsante.
Na ndio maana mufti nilisema ulichochewa na majira

Kwamba usiku na mchana upo lakini dakika sekunde na nukta ni ubunifu

Kuhusu kipi kilianza au kipi kilikuta mwenzake hilo lipo nje ya uwezo wangu nilijibu vile mwanzo kwa kuwa najua ufahamu wa mwanadamu ndio hutambua kuwa haya ni majira ila majira yenyewe hayajitambui
 
Kwa maana hiyo muda upo na ulianza hata kabla ya sisi kuwepo. Nijuavyo mimi ni kuwa muda unahitahi nafasi tu.

Tunahitimisha ya kuwa muda upo na ulikuwepo.
 
Kwa maana hiyo muda upo na ulianza hata kabla ya sisi kuwepo. Nijuavyo mimi ni kuwa muda unahitahi nafasi tu.

Tunahitimisha ya kuwa muda upo na ulikuwepo.

Mufti usinielewe vibaya sijafika hitimisho la kipi kilianza

Labda tulianza sisi kukaa gizani kwa mda mrefu halafu baadae dunia ndio ikaanza kuzunguka.! Nani anajua?

Labda nirudie, muda ni kitu tulichobuni wanadamu kutusaidia kupima myenendo ya vitu.... Sawa mufti

Ulimwengu una nguvu ya msukumo ndani yake inayowezesha maisha kuwezekana hauna muda ndani yake bali unanguvu zilizo kwenye makadirio ya kihesabu lakini si muda

Muda ni mawazio ya kwetu sisi kutuwezesha kupima myenendo hiyo ya nguvu inavyojongea kwa wakati_sijui kama tumeelewana
 
Mufti usinielewe vibaya sijafika hitimisho la kipi kilianza
Hitimisho lipo hata bila ya wewe kukiri juu ya hitimisho hilo. Kitendo cha kuwepo usiku na mchana, ni ishara tosha ya kuwa muda hata kabla ya sekunde na dakika.
Labda tulianza sisi kukaa gizani kwa mda mrefu halafu baadae dunia ndio ikaanza kuzunguka.! Nani anajua?
Usiwe mtu wa kubahatisha, sababu kubahatisha kunakupelekea kukosea.

Kwanza umejuaje kama dunia inazunguka ? Hili ni tatizo lingine unaliingiza kwenye huu mjadala. Muda unataka nafasi na utambuzi, yaani kwenye nafasi ujue muda upo.

Sisi tunajua.
Labda nirudie, muda ni kitu tulichobuni wanadamu kutusaidia kupima myenendo ya vitu.... Sawa mufti
Hakuna aliye buni muda, ni sawa leo hii useme binadamu tulibuni "urefu" kisa watu waliweka vizio vya "Urefu", hii au huku hakuitwi kubini, bali urefu. Kwahiyo muda upo na haujabuniwa, sababu suala la muda liko nje ya uwezo wa mwanadamu, ila vizio ndio binadamu wamevibuni, kwani muda kuwepo kwake hakutegemei, sekunde, wala dakika, wala microsecond na mfano wake. Tafakari.

Kwahiyo, tunahitimisha ya kuwa binadamu wamebuni "vizio" vya muda ili kuendesha na kupanga mbo yao, ila hata kabla ya vizio hivi, watu walikuwa wanaudhibiti muda kwa njia nyingine, angalia njia walizo kuwa wanazitumia watu wa kale kusafiri majini na kujua majira ya mwaka na mfano wa hayo.
Ulimwengu una nguvu ya msukumo ndani yake inayowezesha maisha kuwezekana hauna muda ndani yake bali unanguvu zilizo kwenye makadirio ya kihesabu lakini si muda
Unaposema nguvu ya msukumo una maanisha nini na unaijuaje ?
Muda ni mawazio ya kwetu sisi kutuwezesha kupima myenendo hiyo ya nguvu inavyojongea kwa wakati_sijui kama tumeelewana

Kinachofanya tujue muda sio mawazo yetu, bali yule aliye umba mbingu na ardhi aliumba na muda pia, na kutupa ishara za kuweza kutambua muda huo.
 
Mufti jaribu kuwa muelewa kuna tofauti kubwa kati ya kubuni na kuvumbua

Mimi nimesema tumebuni muda kutuwezesha kufanikisha hicho kulingana na mahitaji yetu na wala sijasema tumevumbua mda mpaka udai madai yako kwamba ni jambo jipya au tumelikuta

Sasa kama wewe unahisi mungu wako ndio kavumbua mda iwe ni yeye au kikaragosi mwegine hiyo mimi hainihusu

Ninachofahamu tupo wenyewe kwenye dunia yetu kwa sasa na changamoto tunazikabili wenyewe pasi na yeyote yule_sawa mufti
 
Mkuu kwa sababu sisi sio waanzilishi wa tuvionavyo hatuwezi kuwa wenyewe, lazima kuna jambo linacontrol haya yote. Game character hawezi kumuelewa programmer.

Kuna kisababishi cha sisi kuwepo, pia limit ya utendaji uliyowekewa na aliyekuprograme inaprove kuwa huwezi kufanya zaidi ya uwezo uliopewa.

Muda ulikuwepo, binadamu hajagundua wala kuvumbua muda sababu bila muda hakuna maisha.
 
Wewe ndio huelewi maana ya kubuni, na mimi sijaongelea kuvumbua,nipo kwenye kubuni muda, na unachochanganya ni kizio cha buni ndio unakiita muda wenyewe,hili ni tatizo lako la ufahamu mdogo juu ya unachokiongelea. Muda upo ila siai tumeweka au kubuni vizio, kwani bila hivyo vizio muda unaendelea kuwepo na tunaweza kutumia njia nyingine kuujua huo muda.
 
Sasa kama wewe unahisi mungu wako ndio kavumbua mda iwe ni yeye au kikaragosi mwegine hiyo mimi hainihusu
Nimecheka sana, naona ushakata tamaa mzee. Mimi sihisi mimi nina uhakika kabisa ya kuwa muda ni kiumbe na amekiumba Mola. Yaani ameumba muda na akauweka na akajaalia ishara ili kujua idadi ya miaka na kudhibiti mahesabu.

Kwahiyo kikaragosi yeyote hana uwezo wa kuumba, kwahiyo uwe unaandika uhalisia na sio mambo ya upngo au kuandila tu kisa unajua kuandika.
Ninachofahamu tupo wenyewe kwenye dunia yetu kwa sasa na changamoto tunazikabili wenyewe pasi na yeyote yule_sawa mufti
Hili mpaka unakufa huwezi kuthibitisha zaidi ya dhana na kujidanganya tu.
 
Mkuu ur heading and arguments don't match

Kama unaota then unaexist simple logic

Unaotea from what point ? Then that point is real !! And ur real

Again nani anayeota ?
Is it me ,you or who? Kama it is all a dream maana kuna only one character hapa wengine ni illusions tuu

So again which character is real? Me or you or who?

Kama wewe ndo real wengine illusions how come tuna argue with you about our existance

Pia ukija kuzungumzia kwamba maisha yetu yote ni computer simulation kwahoja hio huwezi pinga existence ya physical reality

Sababu for that simulation to work maana the computer exist so the computer is real.if the computer is real who programmed it?? Then the programmer is real

Wewe au MTU mwingine yeyote kushindwa Ku comprehend nature haiwezi kuwa kigezo cha existence au non existence yetu in a physical world it is just your limitation of comprehension of things and not otherwise
 
Therefore the physical world can't exist.
The world's EXISTENCE is entirely independent of your presence or your prior (or subsequent) actions; and so it exists on its own and independent of everything else
 
Back
Top Bottom