NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

Whats wrong with a character in my dream arguing with me abouts its existance, it doesn't prove anything to me, we might be experiencing a synchronized dream network, who knows, we are just a 'computer like' program in a virtual reality
 
Tuanze na HALI YA KWELI na HALI YS UONGO. Kuijua hali ya kweli lazima tupime na hali ya uwongo. Uongo ni hali isiyo na msimamo hubarika badirika kutokana mahali na muda unavyopita. Mfano; Rangi ya ngozi ya kinyonga hubadili kutokana mazingira, maji pia hayana hali halisi, maji ni kimiminika yakiwa kwenye hali ya baridi huganda na kuwa jiwe la barafu, kwenye moto huwa mvuke, maji hayana hali halisi ya kweli. Kweli haibarishwi na jua, mvua, baridi wala moto. Kweli ipo kihalisia kabla, sasa na milele. Hivyo kila ukionacho sio halisi sio kweli.

Sisi pia tuna nafsi mbili, nafsi ya kweli na nafsi ya uongo. Mimi nina miaka 60, miaka 60 iliyopita nilikuwa mtoto mchanga nilikuwananyonya, nimepitia hali mbalimbali za mabadiriko mtoto mchanga, mtoto mkubwa, kijana mdogo, kijana mkubwa, mtu mzima na sasa mzee. Ukweli siko kama zamani hivyo mabadili ya mwili na upevu wa akili vinaashiria nafsi yangu isiyo kweli kwani na iko siku nitakuwa maiti na baada ya muda mwili wangu utaoza na kuwa mavumbi.

Lakini pia kuna nafsi inayo observe all changes in ndio hiyo inajinasibu kumiliki mwili na vyote, japo haionelani kwa macho ndiyo inayoona, kusilia ina hisia hiyo ndiyo nafsi yangu ya kweli. Ililiwepo kabla ya kuzaliwa, ipo sasa na mwili, itakuwepo milele hata bila mwili.

Tumeumbwa kuwa na hali zote mbili yaani kwa nafsi ya ukweli na nafsi ya uongo na miungu wa uwongo na Mungu wa kweli.

Miungu kwa wingi wao walisema "TUMUUMBE BINADAMU KWA MFANO WETU" kati ya miungu wa uwongo ni Baba yako na Mama yako. Nguvu ya miungu wa uwango inaishia kwenye upeo wako wa kufikiria, kufanya maamuzi na utekelezaji wa maamuzi na hivyo kuhuisha ulimwengu wa mwili. Nyuma au juu (beyond that) ni uwepo wa nafsi ya kweli na Mungu wa kweli. Hawa ni wamoja. Tofauti na mwili, akiri na miungu wa uwongo ambao hubadirika badirika katika muhimili ya nafasi na wakati. Nafsi ya kweli na Mungu wa kweli ni wa kweli na halisi. Hawana nafasi wala muda hivyo ni sawa na kuwa kwenye infinity or moment state.

Conclusion: Kwa hiyo naungana na mtoa mada kuwa there is nothing between you and the world except yourself. Hata kama utaishi maika mia, na kupata mafanikio, cheo, umaarufu vyote vitakoma siku mwili utapo koma na wewe unarudi kwenye hali ya nothing, emptyness, timeless, space less, connection yako na possesion, family, umaarufu inatoweka. Ndio maana Binadamu hata apate mafanikio gani hariziki. Sababu infinity self can not be satisfied with finity needs.

Angalizo: Find purpose of your life while is not too late.
 
nimeota unaota unaandika ulichoota wakati unaoata na wengine wanaota wanasoma unachoota
nimeota umeota vyema mkuu
Hahahah nimeota nacomment kwenye point uliyoota unaiandika huko ndotoni..
 
Mkuu, are you from the Matrix?
If you go deep to the matrix concept you loose the test of being. You start to see thing in in different perception. You conlude that everything you see is illusion.
Physics sio nzuri sana hasa kama unataka uwe na maono ya kawaida, vinginevyo utakuwa tofauti na wengi. Utaona ujinga katika watu wengi hata wale uliokuwa unawaamini kuwa welevu itakuwa tofauti.
 
 
Theory Yako ingemake sense kama distance zingekuwa zinarudi nyuma kuwa infinitely small.

Lakini sio kweli, there is a smallest length which you can't get smaller than that.
It is called the Planck Length.

From there we start building the universe.
 
Back
Top Bottom