Nimethibitisha Leo Google Pixel ina camera nzuri kuliko iPhone

Huu ndo ukweli watumia iphone hawawezi kukuelewa,camera yake inahitaji na inategemea mwanga mzuri Ili itoe picha nzuri zaidi
Kwa mi mpenda picha hainifai!

Next natatafuta hii,nilikariri samsung tu
 
Ligi ya kujilinganisha simu na iPhone sijui itaisha lini?

Sio Samsung, Tecno, Bb, Tesla, Nothing phone, Oppo, Huawei n.k. wote hao hakuna wa kujilinganisha na android mwenzake ni iPhone tu.

Hizi kampuni naamini wateja ndo wana ligi ila zenyewe nikupambana kimya kimya tu mali yake iwe bora na kuuzika zaidi ila sio ijitetee kuwa mali yake ni nzuri kuliko mali ya mwingine

Kila simu ina mazuri yake na mapungufu yake hakuna iliyokamika kwa % zote na haitotokea tukubaliane tu kama binadam aso hili ana lile, na kwenye simu mwendo ni huo huo tu.

Na matumizi nayo yametofautiana photographer hapo atakuelewa ila ukija kwa bora mawasiliano hana habari na picha nzuri!
 
Pixel kwenye picha inajitahidi hii picha sasa haijawa compressed maana ya awali ilkua compressed na Tapatalk
 

Attachments

  • PXL_20231129_144210937.jpg
    1.7 MB · Views: 32
Yap , umesema kweli...
Ni kweli inategemea na matumizi wakati mwingine, mwingine cm hanaga ht muda na camera,ye ni kupiga,kupokea,kutuma sms😅
Wengine hapa ss ni camera na storage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…