Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Mmh aisee
 
We mwehu tu. Unangoja akutoe roho ili hadithi yako wasimulie wengine siyo?
 
Hongera sana dogo! Nafikiri wewe utakuwa mshauri mzuri wa mambo ya ndoa. Wanaume wengi tunapitia Mikasa kama Yako lakini tumekuwa waoga kuielezea kwa watu wengine. Ndio maana depression na suicide zimekuwa kitu Cha kawaida kwenye jamii. Story Yako itaniimarisha
 
Hapo kwenye kumkutana ametanuliwa na njemba hapo hapo heri niendelee na hili life bila mke.
Wake zetu pia wanachepuka na jamii inajua. Pia sisi tunajua. Usifikiri wewe kutokuandika hapa kisa chako kinaondoa uchepukaji was mkeo. La msingi no kusamehe kama jamaa na kuendelea. Lakini msamaha unakuwepo tu pale unapokua lengo kubwa la maisha. Kama mwenza wako ameonyesha kuwa dhaifu unamwonyeshaje kuwa wewe ni dhaifu zaidi?
 
Hongera Sana Mkuu, lazima nikupongeze kwasababu Mimi siwezi kuvaa viatu vyako.
Huyu ni poyoyo, bwege, zumbukuku wa kupitiliza. Si wa kupongezwa hata kidogo.

Mwanamke afanye makosa yote nitavumilia, lakini kugawa ofisi ya ngu, never ever. Nisigundue, nikigundua anatembea tena kwa alama.
 
uliyeandika huu uzi usije ukaleta uzi mwingine humu ndani kuhusu kuvunjika kwa ndoa yako
 
Huyu ni poyoyo, bwege, zumbukuku wa kupitiliza. Si wa kupongezwa hata kidogo.

Mwanamke afanye makosa yote nitavumilia, lakini kugawa ofisi ya ngu, never ever. Nisigundue, nikigundua anatembea tena kwa alama.
Kha!kha!,Mkuu imeandikwa "Iweni na huruma km Baba yenu wa Mbinguni", Sehemu nyingine imeandikwa hivi "Mkiwasamehe waliowakosea, Baba yenu wa Mbinguni naye atawasamehe ninyi makosa yenu,lkn msipowasamehe nanyi hamtasamehewa makosa yenu".Kiufupi anayesamehe aliyemkosea ni Baunsa wa Moyo, Mtaalamu mmoja wa Teolojia aliwahi kusema kuwa "Kukosea ni ubinadamu lakini kusamehe waliotukosea ni Umungu, kwasababu msamaha ni hulka ya MUNGU". Binafsi Ninam admire Sana mtu anayesamehe,ninamuona kuwa ni mtu wa kipekee sana,huyu ni Mtakatifu anayeishi potelea mbali madhaifu mengine.
 
😳😳😳😳hadi kuwekewa sumu daah ndoa hizi
 
Hongera sana
 
@ndenjii handsone.
Hongera jomba, mm mwenyewe nimeoa nina miaka mitatu sasa, nachoweza kusema kwa mwanaume mwenzangu zingatia vitu vitatu:
1. Maamuzi ya Kichwa sio hisia.
2. Kifua chakutunza mambo yako.
3. Msimamo.
 
Hongera sana mkuu! Ulichofanya ndio njia pekee ya kumfundisha mjinga asiyethamini mahusiano.
 
Kwakweli una uvumilivu kama alionao mwanamke mgumba dhidi ya maneno ya mawifi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…