Nimetimiza miaka 17 kutumia JF hivi sasa. Nimem-miss Dkt Slaa

Nimetimiza miaka 17 kutumia JF hivi sasa. Nimem-miss Dkt Slaa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Nilijiunga 2009 jf , wakati huo akina Dkt Slaa katibu mkuu wa cdm wakati huo ndio waliokuwa tunajadili pamoja ktk jukwaa hili. Dkt slaaa akiona post yangu alikuwa hana budi kuijibu, hakubali na haridhiki kama hataijibu
Nadhani senior member wa jf mtakuwa mshafahamu
 
Back
Top Bottom