min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Yangu natamani niwaambie waunge ila naona makaburi yatafukuliwa😀Kuna ID yangu humu ya mwaka 2012, natafuta namna tu niipe hadhi ya R.I.P maana matukio iliyofanya si mchezo...
Yangu natamani niwaambie waunge ila naona makaburi yatafukuliwa😀Kuna ID yangu humu ya mwaka 2012, natafuta namna tu niipe hadhi ya R.I.P maana matukio iliyofanya si mchezo...
Mbona Mimi nilijiunga huo mwaka ambao ndo nimemaliza la 7 mkuu, na nilikuwa najibizana na Pascal Mayalla nikiwa likizo ya darasa la 7Nikiwa hata sina miaka 23....is this statement relevant?
Hujui kitu weweJoined: October 17, 2023
Hizo ID za zamani acha zipumzike mwendo zimeumaliza..Yangu natamani niwaambie waunge ila naona makaburi yatafukuliwa😀
Hakika , unakutana na tag tu za I'd zilizopotea unapita kama una aga maiti 😀Hizo ID za zamani acha zipumzike mwendo zimeumaliza..
Joined: Oct 17, 2023 awe platinum unafikiri platinum membership wanagawa km pelemende sota humu zaidi ya miaka 20 ndio upewe platinum recreational declaration membership
Naunga mkono hoja yako, jf ya enzi hizo, tulikuwa tuna interact na viongozi humu, sio Dr. Slaa, tuu, Prof. Kitila Mkumbo, Mwigulu Nchemba, Kingwangala, Paul Makonda, Prof. Anna Tibaijuka, Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, John Mnyika. na wengine wengi.Nilijiunga 2009 jf , wakati huo akina Dkt Slaa katibu mkuu wa cdm wakati huo ndio waliokuwa tunajadili pamoja ktk jukwaa hili. Dkt slaaa akiona post yangu alikuwa hana budi kuijibu, hakubali na haridhiki kama hataijibu
Nadhani senior member wa jf mtakuwa mshafahamu
Kwa ile I'd ya malaria sugu na ukapewa life ban kwa matusi ya nguoni uliyokuwa unamwaga hapa. Ww ni mmoja ya waliochangia kueneza siasa za kidini humu jf. Kwa sasa umewaacha wenzako faizafox na the big show. Nahisi umezeeka ndio maana umepunguza matusi, japo udini umegoma kukutoka.Nilijiunga 2009 jf , wakati huo akina Dkt Slaa katibu mkuu wa cdm wakati huo ndio waliokuwa tunajadili pamoja ktk jukwaa hili. Dkt slaaa akiona post yangu alikuwa hana budi kuijibu, hakubali na haridhiki kama hataijibu
Nadhani senior member wa jf mtakuwa mshafahamu
Udini hivi sasa umeshika kasiKwa ile I'd ya malaria sugu na ukapewa life ban kwa matusi ya nguoni uliyokuwa unamwaga hapa. Ww ni mmoja ya waliochangia kueneza siasa za kidini humu jf. Kwa sasa umewaacha wenzako faizafox na the big show. Nahisi umezeeka ndio maana umepunguza matusi, japo udini umegoma kukutoka.
Dah mkuu mimi nilidhani wewe ni msela tu mwana kama kina adriz. Sasa hivi niki reply comment zako sitavuka mipaka.Nilijiunga 2009 jf , wakati huo akina Dkt Slaa katibu mkuu wa cdm wakati huo ndio waliokuwa tunajadili pamoja ktk jukwaa hili. Dkt slaaa akiona post yangu alikuwa hana budi kuijibu, hakubali na haridhiki kama hataijibu
Nadhani senior member wa jf mtakuwa mshafahamu
Unnecessary and uncalled forNikiwa hata sina miaka 23....is this statement relevant?
Miaka 17 kwa ID hii au ile ya zamani? Maana hii ina umri wa miaka mitatu tu.Nilijiunga 2009 jf , wakati huo akina Dkt Slaa katibu mkuu wa cdm wakati huo ndio waliokuwa tunajadili pamoja ktk jukwaa hili. Dkt slaaa akiona post yangu alikuwa hana budi kuijibu, hakubali na haridhiki kama hataijibu
Nadhani senior member wa jf mtakuwa mshafahamu
Huyu mzee toka asaliti na kujirudi alikimbia humu.Nilijiunga 2009 jf , wakati huo akina Dkt Slaa katibu mkuu wa cdm wakati huo ndio waliokuwa tunajadili pamoja ktk jukwaa hili. Dkt slaaa akiona post yangu alikuwa hana budi kuijibu, hakubali na haridhiki kama hataijibu
Nadhani senior member wa jf mtakuwa mshafahamu
Alivyopigwa life ban kwa hiyo ID akakimbilia Mwanahalisi Forum alidhani inaweza kuwa mbadala wa JF kumbe wapi imeshindikana karudi huku.Huyu mzee toka asaliti na kujirudi alikimbia humu.
BTW happy 17 anniversary legend
Huyo The Big show walimfanya vibaya Mtwara baada ya kujifanya eti gas haitoki.Kwa ile I'd ya malaria sugu na ukapewa life ban kwa matusi ya nguoni uliyokuwa unamwaga hapa. Ww ni mmoja ya waliochangia kueneza siasa za kidini humu jf. Kwa sasa umewaacha wenzako faizafox na the big show. Nahisi umezeeka ndio maana umepunguza matusi, japo udini umegoma kukutoka.
Kwako ww na wanaoendekeza huo upuuzi wa hizo dini za kuja na majahazi.Udini hivi sasa umeshika kasi
Makonda anajuwa akili zao hawa, anataka kuwajengea msikiti wa Mabilioni Arusha na siyo shule wala hospitali.Kwako ww na wanaoendekeza huo upuuzi wa hizo dini za kuja na majahazi.
Malaria sugu alipigwa server ban kwa kumbukumbu zangu za mwishoMiaka 17 kwa ID hii au ile ya zamani? Maana hii ina umri wa miaka mitatu tu.