Nimetimiza miaka 17 kutumia JF hivi sasa. Nimem-miss Dkt Slaa

Itakuwa dkt Slaa na I'd yake ya 2 hii
Dr Slaa aliharibiwa credibility na yule Jezeberi Josephine akawa anatumia ID ya Dr Slaa kujibu watu pumba humu mpaka tukagunduwa huu siyo mwandiko wa Dr Slaa.

Hakika Wanawake ni sumu sana, mpaka tender ya kutengeza software za Chadema Dr Slaa aliponogewa utelezi wa Josephine alimpa huyo demu wake mama Junior tender.

Wewe Mujahideen mimi siwezi kuwa mzembe kama Dr Slaa hatufanani.
 
Dah mkuu mimi nilidhani wewe ni msela tu mwana kama kina adriz. Sasa hivi niki reply comment zako sitavuka mipaka.

Heshima kwako mkuu
Kujiunga kipindi hicho haimaanishi kwamba ni "mtu mzima/mzee".... Kuna baadhi ya member tulijiunga kipindi hicho tukiwa watoto/vijana wadogo kwa sababu ya utundu na hamu ya kujua vitu zaidi.....
 
Joined: Oct 17, 2023 awe platinum unafikiri platinum membership wanagawa km pelemende sota humu zaidi ya miaka 20 ndio upewe platinum recreational declaration membership
Kuna watu Wana miaka 8 na ni platinum Sasa miaka 20 yote ya kazi gani? Au platinum inagawa pesa? Alafu Kuna watu walipoteza ID na wakashindwa kurejesha mkuu mbona platinum member wa muda wanamfahamu mleta nyuzi
 
Mujahideen ktk uislam ni cheo kikubwa sana, sawa na prof ktk elimu dunia
 
Wewe ndiye ulikuwa na ID ya Malaria sugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…