Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Dah mi Nina 29 hapa, Nina Kila kitu maisha Ila sina mke tu,Kuna mda najiuliza maswali ya msingi hivi mke zaidi ya watoto atanipa Nini Cha maana ambacho saivi zikipati??? Kweli tuoe tu lakini kwajinsi nilivyo kamilika hapa na jinsi nilivyo na furaha kama kungekuwa na ndoa za kukutana weekend tu nadhani zingekuwa zinatufaa sisi wengine.

Mungu sijui aliwaza nini kusema tuoe labda siku nikioa naweza kujua.

Una pesa,biashara,kazi,una kula vizuri, unajua kutongoza,una hobbies zako kibao,una furaha ukiwa mwenyewe,una uhakika wa kupata mwanamke mwingine yeyote mzuri. Sasa why kuoa?kwanini tuoe wenzetu wazungu wanajua marriage is not for men.

Kuna mda natamani kuoa sana,Kuna mda nawaza hivi nikioa sio ndo mwanzo wa kunihamishiwa mastress yake na mahuzuni yake kwenye maisha yangu yaani nitoe mali,nichangishe watu kusogeza stress kwenye maisha yangu?Ila yote kwa yote, hayo ni mawazo tu ngoja nioe nijionee mwenyewe
 
Kwani haujachoka kulala mwenyewe?
 
Kwa wewe mtoto wa kike hata ukiishi kwenu miaka nenda rudi hakuna tatizo aise. ...kwa mila za kiafrica zisizo rasmi hiyo ni sehemu ya ustaarabu
Mimi kila nikitoka home narudi!.
Yaani bila kuamka nisalime shkamoo baba, mama nahisi niko shimoni
 
Hahahaha hahah mkuu tuvute jiko ndani,,
 
Kuoa Kuna hitaji utayari wa Kujitambua zaidi na kiuchumi ---- ..Vijana wengi sana huwa wanaingia ndani ya ndoa pasipo kuwepo huo utayari wa namna zote 2...na bahati mbaya mahusiano ya ndoa zao huwa yanaishia kupatwa na ajali ya kuvunjika. ....

Kumradhi ---ila Vijana wengi wa umri huo huwa wanaoLea genye
Na kuoa si mnawowana?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…