Hahaha hahahaHahaha utaacha lini visa ?
Soko gani tena jamani mkuu!Ila ni vizuri maana soko lako kubwa kutafutwa,, bado bado unakataa mahali sio?
Aaah wapi.
Acha woga, kila mtu ana namna yake ya kuishi
Kuanzia miaka 5 - 8Unataka mpishane miaka kumi?!
SawaKuanzia miaka 5 - 8
Nimeshastaafu hako ka mchezoKwan wewe hupigi game? Najua bado hujaolewa
Kuna Utayari na Uthubutu,, vikiwa bado ndo yale mtu anaingia leo baada ya mda mambo yanageukaAaah wapi.
Acha woga, kila mtu ana namna yake ya kuishi
MmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmNimeshastaafu hako ka mchezo
[emoji23][emoji23]Tuchangamkie fursa ee?
Selfie at work....Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Labda kuna sababuSelfie at work....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna sababu maamuzi tuLabda kuna sababu
Itakuwa una stress[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna sababu maamuzi tu
Duh okItakuwa una stress
mkuu nan kasema ?Nlivokuwa nna miaka 18 nlikuwa najisemea nikifika miaka 25 nianze kujitegemea,, baada ya kufika 25 nikasema nikifika 31 ndo naweza kuoa,, now niko 32
Stress si lazima ziwe negative,, la hasha zipo stress za positive,,Duh ok
Mmmkuu nan kasema ?
NaelewaStress si lazima ziwe negative,, la hasha zipo stress za positive,,
Sasa wewe una positive,, umetaget kitu flan, so umejiweka kando na hayo mambo ya mahaba niue labda kuna pipo ilikutibua,, so ukaona bora ukae kando,,Naelewa