PACHO HERRERA
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 460
- 527
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Haya bwanaSasa wewe una positive,, umetaget kitu flan, so umejiweka kando na hayo mambo ya mahaba niue labda kuna pipo ilikutibua,, so ukaona bora ukae kando,,
Ila ni swala la muda tu,,, mda ukifika baada ya hivo ulivovipa kipaumbele kukamilika basi kuna mtu uta MTUNUKU [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Haya bwana
Kijana hongeraKumbe mm nimewah 22
Mchambuzi wa mambo ya ndoa na mahusiano hapa jfNyete ndo nani tenaaa
Nitatembelea nyuz zake niambulieMchambuzi wa mambo ya ndoa na mahusiano hapa jf
Shukran mkuu, nimekuelewaKila la kheri 1Kush...maisha hayana formula...ni jinsi utakavyopenda kuyapeleka...wengine at 32 washamaliza kutafuta watoto, ni kupiga kazi kujazia mafao ya uzeeni....
Sio kuwahi mkuu, we bado ?Una wahi nini mkuu..mwenzio leMutuz a.k.a leMbabaz anagonga 60 wala hajawahi kuwaza ndoa..kwanza kuoa ni utumwa kama utumwa meingine..ndo mana wanasema pingu za maisha sio uhuru wa maisha.
Hongera sanaMi nilioa na miaka 24
Sio kuwahi mkuu, we bado ?
Hongera sana
Teh teh tehMkuu na wahi nini..na ili ningundue nn..kama makinda ninayo..papuchi kila siku napata..tena tofauti tofauti..