Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Sasa wewe una positive,, umetaget kitu flan, so umejiweka kando na hayo mambo ya mahaba niue labda kuna pipo ilikutibua,, so ukaona bora ukae kando,,

Ila ni swala la muda tu,,, mda ukifika baada ya hivo ulivovipa kipaumbele kukamilika basi kuna mtu uta MTUNUKU [emoji23]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Haya bwana
 
Kila la kheri 1Kush...maisha hayana formula...ni jinsi utakavyopenda kuyapeleka...wengine at 32 washamaliza kutafuta watoto, ni kupiga kazi kujazia mafao ya uzeeni....
 
Shukran mkuu, nimekuelewa
 
Una wahi nini mkuu..mwenzio leMutuz a.k.a leMbabaz anagonga 60 wala hajawahi kuwaza ndoa..kwanza kuoa ni utumwa kama utumwa meingine..ndo mana wanasema pingu za maisha sio uhuru wa maisha.
 
Sio kuwahi mkuu, we bado ?
 
Back
Top Bottom