Wacha niifungie novena, ikishindikana kuacha itakuwa wakati wa MUNGU haujafika. Kila jambo na majira yake.Sawa mkuu Jorojik: nakushauri nawe acha pombe sio nzuri aimpendezi mwenyezi mungu
Mi nimetimiza miezi miwili na nusu
Siitaji pombe mkuuMkuu, tatizo sio pombe tatizo liko kwa mtumiaji. Kuna uzi umo humu mzuri sana fuatilia uzi huu:- (UBISHI WA KUHUSU POMBE NI ISHARA YA UJINGA KATIKA KEMIA)
AmeenWacha niifungie novena, ikishindikana kuacha itakuwa wakati wa MUNGU haujafika. Kila jambo na majira yake.
Nashukuru alhamdulilahiKama pesa ipo mfukoni na umeacha kunywa inawezekana umeacha kabisa . Hongera ndugu yangu hayo ni maendeleo. Jaribu kupiga mahesabu uone pesa ngapi ilitumika kwa pombe , hesabu itakupa moyo wa kama adui aliyekumaliza kiuchumi . Mimi nisipopata kamoja silali lakini kwa mahesabu makali
Wacha hiyo kitu ni haramuWrite your reply...Mi nimetimiza mwezi wa 7 ila kuna siku nilionja
hiyo avatar yako sipati picha ulivyokuwa unapiga vitu ulifananaje!Mi nimetimiza miezi miwili na nusu
Duuh🤣🤣🤣hatariMimi Nina siku 20 ila kiu niliyonayo sidhani kama ntamaliza mwezi ila sioni hata tofauti yoyote ya kiuchumi kati ya kunywa na kutokunywa!
Sema kutomb.a ndio kunamaliza hela aisee na kuacha kutomb.a ni kazi sana.
Hongera sana mkuu,Mungu aendelee kukulinda usirudie, ili familia izidi kuwa na furaha.Ilikuwa nikipata pesa tu nikimaliza kutoa mahitaji madogo madogo nyumbani ikiwemo pesa za matumizi kwa mke wangu
Basi hata kama nitakuwa na laki mbili zote nitazimaliza bar kwa kujenga heshima... Kunywa na kuwanunulia jamaa na marafiki asubuhi yake sina hata sentano
Yalikuwa maisha mabaya sana kwangu mpaka roho nafsi yangu ilikuwa aiko sawa kwa uteketezaji huo wa pesa niliokuwa naufanya, lakini mwisho wa siku nikawa namuomba mwenyezi mungu aniepushie hilo janga
Hadi leo ninapoandika hii thread nina miezi minne na wiki mbili nimeacha unywaji wa pombe najiona niko mwepesi mapigo ya moyo yalikuwa kasi sana sasa moyo wangu umepoa kabisa nimeamua kuishi maisha mapya kabisa hata familia yangu nyumbani wamefurahi na kushukuru.
Shukran pekee nampelekea mwenyezi mungu kwa kunitoa juani na gizani na kunipeleka kivulini.
Nawasilisha.
Ameen nduguHongera sana mkuu,Mungu aendelee kukulinda usirudie, ili familia izidi kuwa na furaha.
Kasema miezi minne sio miaka minneHapo watakao msingizia JPM eti ndie kakusababishia watachuma dhambi!!!
JPM hajatimiza miaka 4 tangu aingie madarakani.
Uliacha enzi "watu tunachezea" hela