Nimetimiza miezi minne sasa bila kunywa pombe!

Nimetimiza miezi minne sasa bila kunywa pombe!

Mkuu, tatizo sio pombe tatizo liko kwa mtumiaji. Kuna uzi umo humu mzuri sana fuatilia uzi huu:- (UBISHI WA KUHUSU POMBE NI ISHARA YA UJINGA KATIKA KEMIA)
 
Kama pesa ipo mfukoni na umeacha kunywa inawezekana umeacha kabisa . Hongera ndugu yangu hayo ni maendeleo. Jaribu kupiga mahesabu uone pesa ngapi ilitumika kwa pombe , hesabu itakupa moyo wa kama adui aliyekumaliza kiuchumi . Mimi nisipopata kamoja silali lakini kwa mahesabu makali
 
Mkuu, tatizo sio pombe tatizo liko kwa mtumiaji. Kuna uzi umo humu mzuri sana fuatilia uzi huu:- (UBISHI WA KUHUSU POMBE NI ISHARA YA UJINGA KATIKA KEMIA)
Siitaji pombe mkuu
 
Kama pesa ipo mfukoni na umeacha kunywa inawezekana umeacha kabisa . Hongera ndugu yangu hayo ni maendeleo. Jaribu kupiga mahesabu uone pesa ngapi ilitumika kwa pombe , hesabu itakupa moyo wa kama adui aliyekumaliza kiuchumi . Mimi nisipopata kamoja silali lakini kwa mahesabu makali
Nashukuru alhamdulilahi
 
Mimi Nina siku 20 ila kiu niliyonayo sidhani kama ntamaliza mwezi ila sioni hata tofauti yoyote ya kiuchumi kati ya kunywa na kutokunywa!
Sema kutomb.a ndio kunamaliza hela aisee na kuacha kutomb.a ni kazi sana.
 
Duuh🤣🤣🤣hatari
 
Ilikuwa nikipata pesa tu nikimaliza kutoa mahitaji madogo madogo nyumbani ikiwemo pesa za matumizi kwa mke wangu

Basi hata kama nitakuwa na laki mbili zote nitazimaliza bar kwa kujenga heshima... Kunywa na kuwanunulia jamaa na marafiki asubuhi yake sina hata sentano

Yalikuwa maisha mabaya sana kwangu mpaka roho nafsi yangu ilikuwa aiko sawa kwa uteketezaji huo wa pesa niliokuwa naufanya, lakini mwisho wa siku nikawa namuomba mwenyezi mungu aniepushie hilo janga

Hadi leo ninapoandika hii thread nina miezi minne na wiki mbili nimeacha unywaji wa pombe najiona niko mwepesi mapigo ya moyo yalikuwa kasi sana sasa moyo wangu umepoa kabisa nimeamua kuishi maisha mapya kabisa hata familia yangu nyumbani wamefurahi na kushukuru.

Shukran pekee nampelekea mwenyezi mungu kwa kunitoa juani na gizani na kunipeleka kivulini.

Nawasilisha.
Hongera sana mkuu,Mungu aendelee kukulinda usirudie, ili familia izidi kuwa na furaha.
 
Hapo watakao msingizia JPM eti ndie kakusababishia watachuma dhambi!!!
JPM hajatimiza miaka 4 tangu aingie madarakani.
Uliacha enzi "watu tunachezea" hela
Kasema miezi minne sio miaka minne
 
Back
Top Bottom