T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Sasa unadhani nani kaiita mahari kama sio huyu mleta mada. Ukute waliita fidia ya hela yao ya malezi, ukizaa lea kama hutaki rudisha piga puli. Na kulea sio kutuma hela ya matumizi ambayo utakuta hata haitoshi. Mambo ya 'mtoto yuko kijijini na bibi yake' ni malezi ya hapa na paleSasa wasiite hiyo Mahari. Waseme fedha za faini.
Tafsiri ya Mahari inatolewa kwa yule Binti unaemchumbia.
SijakuelewaWakuu nilipata kuzaa na mdada mmoja miaka kama mitatu hivi imepita. Kiukweli nimekuwa na mahusiano mema tu na mwanamke huyu kwa muda wote japo mie nimekuwa mtu wa harakati za hapa na pale na kutulia kwangu nyumbani ilikuwa shida.
Kutokana na hali hiyo ilibidi mzazi mwenzangu aendelee kuishi kwao huku mie nikiendelea na harakati huko duniani. Sasa hapa karibuni nilipoteza mawasiliano na mzazi mwenzangu na kupelekea ukaribu wetu kupungua hivyo kunifanya nipoteze imani naye.
Ni mwezi March ndiyo rasmi nimetulia na kumfata mpaka kwao na bahati mbaya alikuwa amesafiri na hakuwahi kunipa taarifa. Binafsi sikufurahishwa na usiri wake na niliamua kubreak mahusiano yetu.
Hivyo kwa mila na tamaduni zetu ilinilazimu kuwaandaa wazee kwa ajili ya kutoa mahari ya mtoto pekee ili awe mtu wa familia na ukoo wetu ambayo familia zilikubaliana kiasi cha laki 8 na jana mchezo umeisha.
Kumkomboa mtoto au kutoa mahari?Wakuu nilipata kuzaa na mdada mmoja miaka kama mitatu hivi imepita. Kiukweli nimekuwa na mahusiano mema tu na mwanamke huyu kwa muda wote japo mie nimekuwa mtu wa harakati za hapa na pale na kutulia kwangu nyumbani ilikuwa shida.
Kutokana na hali hiyo ilibidi mzazi mwenzangu aendelee kuishi kwao huku mie nikiendelea na harakati huko duniani. Sasa hapa karibuni nilipoteza mawasiliano na mzazi mwenzangu na kupelekea ukaribu wetu kupungua hivyo kunifanya nipoteze imani naye.
Ni mwezi March ndiyo rasmi nimetulia na kumfata mpaka kwao na bahati mbaya alikuwa amesafiri na hakuwahi kunipa taarifa. Binafsi sikufurahishwa na usiri wake na niliamua kubreak mahusiano yetu.
Hivyo kwa mila na tamaduni zetu ilinilazimu kuwaandaa wazee kwa ajili ya kutoa mahari ya mtoto pekee ili awe mtu wa familia na ukoo wetu ambayo familia zilikubaliana kiasi cha laki 8 na jana mchezo umeisha.
Sehemu ya mahari unakomboa ziwa la mama, yaani unalipia kabisa maziwa watakayo nyonya watoto wako. Ninadhani ndiyo gharama alizolipishwa jamaa.Mahari anatolewa mchumba anayetaka kuolewa. Sasa mbona unasema mahari ya mtoto wako!? KULIKONI?
Hata wasukuma wana utaratibu huo...kama ulishindwa mlipia mahari binti yao..huwezi chukua watoto bila kuwalipia.Hizi taratibu wanazo wahaya.Yani ukizaa na binti wa kihaya bila kuoana itabidi ulipe hela(mahari) kwaajili ya mtoto wako hata kama ulikuwa unampa huduma zote.
Mambo ya kijinga sana haya.!
Mahari ndio ndoa..uzungu wako baki nao huko ulaya.Mahari anatolewa mchumba anayetaka kuolewa. Sasa mbona unasema mahari ya mtoto wako!? KULIKONI?
Mahari ndio ndoa..uzungu wako baki nao huko ulaya.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida uzungu mwingi..hata aina za ndoa hujui..?rudi darasani kajifunze upya.Nani alikwambia mie mzungu wewe na niko Ulaya? Acha kujifanya unanijua.
Shida uzungu mwingi..hata aina za ndoa hujui..?rudi darasani kajifunze upya.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wasiite hiyo Mahari. Waseme fedha za faini.
Tafsiri ya Mahari inatolewa kwa yule Binti unaemchumbia.
Hata mana ya ndoa hujui..don't waste my energy rudi shule naona na poteza muda kumwelewesha layman.Ndoa iko moja tu wewe hakuna ndoa zaidi ya hiyo. Ndiyo nyinyi mnaoharibu Kiswahili na madikteta kuwaita Wazalendo. Kulipa pesa kwa ME ili apewe mtoto wake kutoka kwa KE ambaye hakuwahi kuwa mke wake hiyo si ndoa, haijawahi kuitwa ndoa hata kwa sekunde moja. Acha kutuharibia kiswahili.
Yaani wewe ni pasua kichwa.Wakuu nilipata kuzaa na mdada mmoja miaka kama mitatu hivi imepita. Kiukweli nimekuwa na mahusiano mema tu na mwanamke huyu kwa muda wote japo mie nimekuwa mtu wa harakati za hapa na pale na kutulia kwangu nyumbani ilikuwa shida.
Kutokana na hali hiyo ilibidi mzazi mwenzangu aendelee kuishi kwao huku mie nikiendelea na harakati huko duniani. Sasa hapa karibuni nilipoteza mawasiliano na mzazi mwenzangu na kupelekea ukaribu wetu kupungua hivyo kunifanya nipoteze imani naye.
Ni mwezi March ndiyo rasmi nimetulia na kumfata mpaka kwao na bahati mbaya alikuwa amesafiri na hakuwahi kunipa taarifa. Binafsi sikufurahishwa na usiri wake na niliamua kubreak mahusiano yetu.
Hivyo kwa mila na tamaduni zetu ilinilazimu kuwaandaa wazee kwa ajili ya kutoa mahari ya mtoto pekee ili awe mtu wa familia na ukoo wetu ambayo familia zilikubaliana kiasi cha laki 8 na jana mchezo umeisha.
Ulichotoa sio mahari. Watafute bakita wakupe tafsiri halisi.Watu wanatolea mahari maiti halafu hapa mnashangaa mimi kutoa mahari kwa ajili ya mwanangu?
Hahahahahah boya sana wwKwahiyo ukitaka kumuoa mama ake unatoa mahari tena!?
πππ Hii mila wakati inawekwa mimi sikuwepo kwahiyo jamani naomba irudiwee irudiwee!