Nimetoa mahari ya Tsh. laki nane (8) nyumbani kwao na mzazi mwenzangu na wamenikabidhi binti yangu (mwanangu) ili nimsomeshe

Sasa wasiite hiyo Mahari. Waseme fedha za faini.

Tafsiri ya Mahari inatolewa kwa yule Binti unaemchumbia.
Sasa unadhani nani kaiita mahari kama sio huyu mleta mada. Ukute waliita fidia ya hela yao ya malezi, ukizaa lea kama hutaki rudisha piga puli. Na kulea sio kutuma hela ya matumizi ambayo utakuta hata haitoshi. Mambo ya 'mtoto yuko kijijini na bibi yake' ni malezi ya hapa na pale
 
Wakuu nilipata kuzaa na mdada mmoja miaka kama mitatu hivi imepita. Kiukweli nimekuwa na mahusiano mema tu na mwanamke huyu kwa muda wote japo mie nimekuwa mtu wa harakati za hapa na pale na kutulia kwangu nyumbani ilikuwa shida.

Kutokana na hali hiyo ilibidi mzazi mwenzangu aendelee kuishi kwao huku mie nikiendelea na harakati huko duniani. Sasa hapa karibuni nilipoteza mawasiliano na mzazi mwenzangu na kupelekea ukaribu wetu kupungua hivyo kunifanya nipoteze imani naye.

Ni mwezi March ndiyo rasmi nimetulia na kumfata mpaka kwao na bahati mbaya alikuwa amesafiri na hakuwahi kunipa taarifa. Binafsi sikufurahishwa na usiri wake na niliamua kubreak mahusiano yetu.

Hivyo kwa mila na tamaduni zetu ilinilazimu kuwaandaa wazee kwa ajili ya kutoa mahari ya mtoto pekee ili awe mtu wa familia na ukoo wetu ambayo familia zilikubaliana kiasi cha laki 8 na jana mchezo umeisha.
Sijakuelewa
 
Kumkomboa mtoto au kutoa mahari?
 
Hili lilinikuta kwa wasukuma nikakubali kulipia mahari mtoto wakanipa now ni 11yrs hakuna mawasiliano yoyite ya upande ule na mm hata sijui ka wako hai
 
Sikuwahi kusikia, leo ni mara yangu ya kwanza.

Kumbe tunazo Mila na Tamaduni za hivi hapa nchini!
 
Ukiwa unaendelea kusomesha binti yao, wajengee na nyumba, usisahau master bedroom kwa ajili ya wakwe zako na kile choo cha kukaa.Utakuwa na akili sana
 
Mahari anatolewa mchumba anayetaka kuolewa. Sasa mbona unasema mahari ya mtoto wako!? KULIKONI?
Sehemu ya mahari unakomboa ziwa la mama, yaani unalipia kabisa maziwa watakayo nyonya watoto wako. Ninadhani ndiyo gharama alizolipishwa jamaa.
 
Ulipoteza mawasliano na mzazi mwenzio kutokana na harakati zako na ukaribu kati yenu ukapungua, ukakuta amesafiri ukakasirishwa na usiri wake, sasa hamkuwa na mawasliano ni vipi angekupa hiyo taarifa? Miaka 3 toka umemzalisha harakati gani izo usijiongeze hata nusu nusu uchukue familia yako hata km ni maandazi mkeo auze masidiane izo harakati? Umekosea sana
 
Hizi taratibu wanazo wahaya.Yani ukizaa na binti wa kihaya bila kuoana itabidi ulipe hela(mahari) kwaajili ya mtoto wako hata kama ulikuwa unampa huduma zote.

Mambo ya kijinga sana haya.!
Hata wasukuma wana utaratibu huo...kama ulishindwa mlipia mahari binti yao..huwezi chukua watoto bila kuwalipia.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa iko moja tu wewe hakuna ndoa zaidi ya hiyo. Ndiyo nyinyi mnaoharibu Kiswahili na madikteta kuwaita Wazalendo. Kulipa pesa kwa ME ili apewe mtoto wake kutoka kwa KE ambaye hakuwahi kuwa mke wake hiyo si ndoa, haijawahi kuitwa ndoa hata kwa sekunde moja. Acha kutuharibia kiswahili.
Shida uzungu mwingi..hata aina za ndoa hujui..?rudi darasani kajifunze upya.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa iko moja tu wewe hakuna ndoa zaidi ya hiyo. Ndiyo nyinyi mnaoharibu Kiswahili na madikteta kuwaita Wazalendo. Kulipa pesa kwa ME ili apewe mtoto wake kutoka kwa KE ambaye hakuwahi kuwa mke wake hiyo si ndoa, haijawahi kuitwa ndoa hata kwa sekunde moja. Acha kutuharibia kiswahili.
Hata mana ya ndoa hujui..don't waste my energy rudi shule naona na poteza muda kumwelewesha layman.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nilipata kuzaa na mdada mmoja miaka kama mitatu hivi imepita. Kiukweli nimekuwa na mahusiano mema tu na mwanamke huyu kwa muda wote japo mie nimekuwa mtu wa harakati za hapa na pale na kutulia kwangu nyumbani ilikuwa shida.

Kutokana na hali hiyo ilibidi mzazi mwenzangu aendelee kuishi kwao huku mie nikiendelea na harakati huko duniani. Sasa hapa karibuni nilipoteza mawasiliano na mzazi mwenzangu na kupelekea ukaribu wetu kupungua hivyo kunifanya nipoteze imani naye.

Ni mwezi March ndiyo rasmi nimetulia na kumfata mpaka kwao na bahati mbaya alikuwa amesafiri na hakuwahi kunipa taarifa. Binafsi sikufurahishwa na usiri wake na niliamua kubreak mahusiano yetu.

Hivyo kwa mila na tamaduni zetu ilinilazimu kuwaandaa wazee kwa ajili ya kutoa mahari ya mtoto pekee ili awe mtu wa familia na ukoo wetu ambayo familia zilikubaliana kiasi cha laki 8 na jana mchezo umeisha.
Yaani wewe ni pasua kichwa.

Ulipoteza mahusiano na mama watoto. Then ukaenda kwao ukakuta kasafiri.
Halafu uka mind kwa kuwa ni msiri.

We mwanaume wa aina gani? Yaani unamfunga binti wa watu iki hali wewe huna time naye? Kuna maisha mengine usijitoe ufahamu. Mwache binti wa watu aje kitaa tumpe dyuju la yuyu.
 
Back
Top Bottom