Hahahah wapare gani wenye akili za kijinga namna hioKuna wapare wametaka kuniletea hii story.. nimeachana nao mtoto atakuja mwenyewe. Mwanamke mwenyewe Ana mabwana kibao mahari nilipe mie.. isitoshe Nina Mke niliyemlipia.. silipi mahari Mara mbili ni laana.
Hahahahahah boya sana ww
Basi usikasirike. Punguza uchungu na hasira.Watu wanatolea mahari maiti halafu hapa mnashangaa mimi kutoa mahari kwa ajili ya mwanangu?
Huna hela??Huwa naona kabisa huko mbeleni nitanyimwa Mke. Hizi habari za mahari ya milioni, pesa ndani ya barua ya posa, faini ya kumtia binti yao mimba, mkaja wa nani sijui, blanketi la nani, koti la nani, kuwafungua vinywa wazee.
Kwetu tunaita kumkomboa mtoto na hata kama unaishi na mwanamke haujamuoa itokee bahati mbaya amefariki unalipishwa mahari na unaruhusiwa kumzika mkeo sababu umeshamlipia mahariUkimzalisha binti wa watu halafu bado hamjaoana, ikitokea mmeachana ili upate haki ya mtoto ni lazima umlipie mahali huyo mtoto ndio unakuwa na mamlaka nae.
Ndugu, mimi siishi kwa mazoea na sio kwamba hiyo mahari muda ukifika siwezi ipata! Ni utaratibu wangu niliojiwekea, wakikataa basi wakae na binti yao. Mimi nilishasema, mabinti zangu sitowauza, nitawabariki yeye na mwenzie wakaanze maisha yao yenye raha na furaha katika ndoa yao.Huna hela??
Mahari...1,000,000 (negotiable)
Posa...50,000 au 100,000
Faini ya uchafuzi...300,000
Mkaja ....300,000
Blanket 2....150,000
Jembe 2 na mipini....15,000
Kipanga(Kama ni Mbeya)...300,000
Mengine..(mbuzi/ndama)...400,000
Kumtoa kidogo mshenga......!!!
Usafiri wako, mshenga, wazazi wako, mashangazi zako, wasindikizaji n.k.....!
Ndoa iko moja tu wewe hakuna ndoa zaidi ya hiyo. Ndiyo nyinyi mnaoharibu Kiswahili na madikteta kuwaita Wazalendo. Kulipa pesa kwa ME ili apewe mtoto wake kutoka kwa KE ambaye hakuwahi kuwa mke wake hiyo si ndoa, haijawahi kuitwa ndoa hata kwa sekunde moja. Acha kutuharibia kiswahili.
Ndugu, mimi siishi kwa mazoea na sio kwamba hiyo mahari muda ukifika siwezi ipata! Ni utaratibu wangu niliojiwekea, wakikataa basi wakae na binti yao. Mimi nilishasema, mabinti zangu sitowauza, nitawabariki yeye na mwenzie wakaanze maisha yao yenye raha na furaha katika ndoa yao.
Hiyo ni faini na siyo mahari, kila lakheri.
Hata mana ya ndoa hujui..don't waste my energy rudi shule naona na poteza muda kumwelewesha layman.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu tunaita kumkomboa mtoto na hata kama unaishi na mwanamke haujamuoa itokee bahati mbaya amefariki unalipishwa mahari na unaruhusiwa kumzika mkeo sababu umeshamlipia mahari
Usiangaike mkuu mimi waliniletea za hivyo Bibi yangu akanambia Achana na habari za mtoto kama wamemkatalia watakutafuta wenyewe au mtoto atakuja mwenyewe, Baada ya mwaka wakapiga simu njoo uchukue mwanao, Ni baada ya mama mtoto kuanza kurukaruka na kuwaachia mzigo wa nyumbani kwao, nikamchukua kiulainiKuna wapare wametaka kuniletea hii story.. nimeachana nao mtoto atakuja mwenyewe. Mwanamke mwenyewe Ana mabwana kibao mahari nilipe mie.. isitoshe Nina Mke niliyemlipia.. silipi mahari Mara mbili ni laana.
Wanaita kukomboa mtoto.Mkuu, Sijakuelewa. Ulibreak mahusiano halafu ukaenda kumlipia mahari huyo mzazi mwezio. Sasa tatizo lipo wapi?.
Tukio la wewe kupewa mtoto wako mbona ni haki yako au Ulinyimwa kupewa Mwanao hadi ulipe fedha za matunzo ya Mtoto?.
izi mila zinatambulika kisheria utaumbuka..Watamlea mwenyewe mi naenda kumchukua mahakamani