Nimetoa mahari ya Tsh. laki nane (8) nyumbani kwao na mzazi mwenzangu na wamenikabidhi binti yangu (mwanangu) ili nimsomeshe

Nimetoa mahari ya Tsh. laki nane (8) nyumbani kwao na mzazi mwenzangu na wamenikabidhi binti yangu (mwanangu) ili nimsomeshe

Huna hela??
Mahari...1,000,000 (negotiable)
Posa...50,000 au 100,000
Faini ya uchafuzi...300,000
Mkaja ....300,000
Blanket 2....150,000
Jembe 2 na mipini....15,000
Kipanga(Kama ni Mbeya)...300,000
Mengine..(mbuzi/ndama)...400,000
Kumtoa kidogo mshenga......!!!
Usafiri wako, mshenga, wazazi wako, mashangazi zako, wasindikizaji n.k.....!
Hahahaha! Kuna jamaa walimfanyia hivi,akawalipa zote then akasema simuhitaji binti yenu,ila nitakuwa natuma pesa kwa ajili ya matunzo ya mtoto.ifike wakati jamii ibadilike,ikitokea binti mjamzito na jamaa kaonesha nia ya kumuoa,hizi tamaduni ni za kuziweka kapuni ili awasaidie kuwaondolea mzigo nyumbani.maana akisusa kama alivyofanya jamaa,hasara ni yao sio ya mwanaume
 
Wakuu nilipata kuzaa na mdada mmoja miaka kama mitatu hivi imepita. Kiukweli nimekuwa na mahusiano mema tu na mwanamke huyu kwa muda wote japo mie nimekuwa mtu wa harakati za hapa na pale na kutulia kwangu nyumbani ilikuwa shida.

Kutokana na hali hiyo ilibidi mzazi mwenzangu aendelee kuishi kwao huku mie nikiendelea na harakati huko duniani. Sasa hapa karibuni nilipoteza mawasiliano na mzazi mwenzangu na kupelekea ukaribu wetu kupungua hivyo kunifanya nipoteze imani naye.

Ni mwezi March ndiyo rasmi nimetulia na kumfata mpaka kwao na bahati mbaya alikuwa amesafiri na hakuwahi kunipa taarifa. Binafsi sikufurahishwa na usiri wake na niliamua kubreak mahusiano yetu.

Hivyo kwa mila na tamaduni zetu ilinilazimu kuwaandaa wazee kwa ajili ya kutoa mahari ya mtoto pekee ili awe mtu wa familia na ukoo wetu ambayo familia zilikubaliana kiasi cha laki 8 na jana mchezo umeisha.
Hai itwi mahari inaitwa kukomboa mtoto
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom