Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.

Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm sitaki kuchakaa nitakapo olewa.

Basi nikamuambia ili kuhakikisha naendelea kupendeza nitataka uwe unanipa pesa kwa ajili ya matumizi yangu ya dharura isiyopungua laki. Hii pesa pamoja na mshahara wangu usiiihesabie kwenye matumizi yoyote ya nyumbani wala usiichukulie kama ndiyo hela ya matunzo yangu. Hii ni kama pocket money tu. Ili mtoto wa watu niendelee kuchanua na nisichake kwa stress.

Ndiyo. Huko ndiyo kuolewa, mwanaume si ni kichwa cha nyumba!??Siyo niolewe halafu bado niendelee kuishi kwa kuiwazia hela ya kula, kodi, kuvaa, kunywa,n.k. Hela ya kuendesha maisha ya familia inatafutwa na mwanaume mm si nimeolewa bhana.!?Mshahara wangu ni kwa ajili ya mambo yangu. Kazi yangu kubwa ni kuzaa tu. Ndiyo maana nchi za kiarabu huko mwanamke akibeba mimba mumewe inabidi alipe hela nyingi sana kama asante kwa mkewe. Na bado wanawake wengi ktk nchi hizo siyo tu kwamba hawaendi maofisini, bali hata sokoni hawaendi.

Nimempa hilo sharti, akiliona analiweza poa, akishindwa basi ajue siyo fungu lake.

ONYO; Wanaume bebeni jukumu la kulea familia, msioe kwa kuangalia mishahara ya wake zenu. Wanawake wanapaswa kutunzwa. Mishahara yao ipo kama ziada kwa matumizi yao binafsi.
Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mwanamke wa hali ya chini sana, very cheap, average with no vision. Huyo anaetaka kukuoa, akitimiza Lengo lake baada ya kuambiwa hivyo mtakuwa wote average.
Unaomba laki kila mwezi ndani ya ndoa, Je thamani ya laki moja Leo hii itakuwa Sawa miaka 2,3,5,8 baadae?? Huon miaka mitano ijayo kuwa laki moja itakuwa Sawa thamani ya 10,000 ya sasa??? Hii inadhibitisha ushamba wako. Kadri muda unavyosogea ndivyo money value ina pungua. Ungeomba kupendwa na kithaminiwa kwenye ndoa. Ungefaidi zaidi ya hiyo laki. People with no vision deserve no better in life.
 
Laki is nothing lakini huo ni upuuzi. I can make lots of laki per day lakini mia sikupi...shen** type

Sukari Yenu
 
Bila shaka wewe unatoka uzaramoni maeneo ya maneromango. kama sikosei ni wale mnaoitaga smart phone kama "tach".yaani ulivyotaja laki ukaona bonge la fungu.kimsingi jamaa amekwisha kupiga chini.hawezi oa mwanamke cheap hivyo.maana kwa simulizi yako unaonekana ni mdada wa kazi za ndani
 
Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.

Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm sitaki kuchakaa nitakapo olewa.

Basi nikamuambia ili kuhakikisha naendelea kupendeza nitataka uwe unanipa pesa kwa ajili ya matumizi yangu ya dharura isiyopungua laki. Hii pesa pamoja na mshahara wangu usiiihesabie kwenye matumizi yoyote ya nyumbani wala usiichukulie kama ndiyo hela ya matunzo yangu. Hii ni kama pocket money tu. Ili mtoto wa watu niendelee kuchanua na nisichake kwa stress.

Ndiyo. Huko ndiyo kuolewa, mwanaume si ni kichwa cha nyumba!??Siyo niolewe halafu bado niendelee kuishi kwa kuiwazia hela ya kula, kodi, kuvaa, kunywa,n.k. Hela ya kuendesha maisha ya familia inatafutwa na mwanaume mm si nimeolewa bhana.!?Mshahara wangu ni kwa ajili ya mambo yangu. Kazi yangu kubwa ni kuzaa tu. Ndiyo maana nchi za kiarabu huko mwanamke akibeba mimba mumewe inabidi alipe hela nyingi sana kama asante kwa mkewe. Na bado wanawake wengi ktk nchi hizo siyo tu kwamba hawaendi maofisini, bali hata sokoni hawaendi.

Nimempa hilo sharti, akiliona analiweza poa, akishindwa basi ajue siyo fungu lake.

ONYO; Wanaume bebeni jukumu la kulea familia, msioe kwa kuangalia mishahara ya wake zenu. Wanawake wanapaswa kutunzwa. Mishahara yao ipo kama ziada kwa matumizi yao binafsi.
Kati ya watu walioishi kwa mateso duniani....baba yako ni mmojawao!mama yako amekulea vibaya!

Na kama huzai je?
 
Kuna mtoto.mmoja anaitwa grace.aliniambia nakuuliza .maswali sita.kati ya ni utanipa kila muda ninao taka?2 utakuwa unaninunua nguo mpya kila ninapotaka.utanilisha?n.k
Nikamwambia yaliyo kwenye uwezo wangu nitakufanyia nikishindwa sintakufanyia.kikakasirika na hapo hapo tukazinguana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.

Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm sitaki kuchakaa nitakapo olewa.

Basi nikamuambia ili kuhakikisha naendelea kupendeza nitataka uwe unanipa pesa kwa ajili ya matumizi yangu ya dharura isiyopungua laki. Hii pesa pamoja na mshahara wangu usiiihesabie kwenye matumizi yoyote ya nyumbani wala usiichukulie kama ndiyo hela ya matunzo yangu. Hii ni kama pocket money tu. Ili mtoto wa watu niendelee kuchanua na nisichake kwa stress.

Ndiyo. Huko ndiyo kuolewa, mwanaume si ni kichwa cha nyumba!??Siyo niolewe halafu bado niendelee kuishi kwa kuiwazia hela ya kula, kodi, kuvaa, kunywa,n.k. Hela ya kuendesha maisha ya familia inatafutwa na mwanaume mm si nimeolewa bhana.!?Mshahara wangu ni kwa ajili ya mambo yangu. Kazi yangu kubwa ni kuzaa tu. Ndiyo maana nchi za kiarabu huko mwanamke akibeba mimba mumewe inabidi alipe hela nyingi sana kama asante kwa mkewe. Na bado wanawake wengi ktk nchi hizo siyo tu kwamba hawaendi maofisini, bali hata sokoni hawaendi.

Nimempa hilo sharti, akiliona analiweza poa, akishindwa basi ajue siyo fungu lake.

ONYO; Wanaume bebeni jukumu la kulea familia, msioe kwa kuangalia mishahara ya wake zenu. Wanawake wanapaswa kutunzwa. Mishahara yao ipo kama ziada kwa matumizi yao binafsi

Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.

Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm sitaki kuchakaa nitakapo olewa.

Basi nikamuambia ili kuhakikisha naendelea kupendeza nitataka uwe unanipa pesa kwa ajili ya matumizi yangu ya dharura isiyopungua laki. Hii pesa pamoja na mshahara wangu usiiihesabie kwenye matumizi yoyote ya nyumbani wala usiichukulie kama ndiyo hela ya matunzo yangu. Hii ni kama pocket money tu. Ili mtoto wa watu niendelee kuchanua na nisichake kwa stress.

Ndiyo. Huko ndiyo kuolewa, mwanaume si ni kichwa cha nyumba!??Siyo niolewe halafu bado niendelee kuishi kwa kuiwazia hela ya kula, kodi, kuvaa, kunywa,n.k. Hela ya kuendesha maisha ya familia inatafutwa na mwanaume mm si nimeolewa bhana.!?Mshahara wangu ni kwa ajili ya mambo yangu. Kazi yangu kubwa ni kuzaa tu. Ndiyo maana nchi za kiarabu huko mwanamke akibeba mimba mumewe inabidi alipe hela nyingi sana kama asante kwa mkewe. Na bado wanawake wengi ktk nchi hizo siyo tu kwamba hawaendi maofisini, bali hata sokoni hawaendi.

Nimempa hilo sharti, akiliona analiweza poa, akishindwa basi ajue siyo fungu lake.

ONYO; Wanaume bebeni jukumu la kulea familia, msioe kwa kuangalia mishahara ya wake zenu. Wanawake wanapaswa kutunzwa. Mishahara yao ipo kama ziada kwa matumizi yao binafsi.
Mwisho wako ni mbaya , hakuna mwanaume boya huku duniani ni wakati tu hujafika
 
Back
Top Bottom