Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

Mi wangu nampa zaidi ya 300k kwa mwezi na hakuniwekea masharti ya kumuhudumia

sasa wewe unayepewa 100k kwa mwezi ni sawa na kupewa matumizi ya buku nne kwa siku kisha unakuja kuropoka humu

upo cheap sana unaweza kuhudumiwa hata na mtoto wa sekondary
 
Back
Top Bottom