Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

Ushabandika K!!! Hukawii kushuka na uzi mwingine wa kuonyesha wewe ni ME!!! Nini kinachokusumbua hata usijitambue kiasi hiki!? 😳😳😳
 
Kuolewa imekuwa career?akikuomba kwa mpalange in exchange uko tayari?mwenyewe laki umeona nyingi ehe
 
Wewe hauko kwenye 50-50 ?
 
Wewe ni malaya wa pale sinza nakufahamu
 
Hii post ni ya mwaka 2017 imefufuliwa tena wateja wamepungua nini???
 
Waislam moja ya sifa ya kuoa mwanamke ni Utajiri wake sasa we nenda Kijiweni kwako hapo Kimboka nnaona umechelewa leo
 
Kwa mtazamo huo tutaendelea kuwazalisha sana aise, na mtazalia sana nyumbani kwenu. Sorry ni ya siku nyingi, sina hakika mleta UZI kama bado ana mawazo ya hivi kwa miaka hi 4 iliopita
 
Mimi ukinambia hvoo nakucha hapo hapo , maana ni kama unanipangia masharti, wajibu wangu naujuwa, nashukuru mungu mpenz wangu sio wa kuniwekea mashart na najitahid sana kutimiza wajibu wangu kwake, sitak asononeke ata kdgo
 
Maisha ya sasa yanahitaji kila mtu atafute pesa alerte nyumbani tushi vzr wote! Na kazi za nyumbani wote tutafanya kupika kuosha vyombo na kila kitu kazi moja tu ya kubeba mimba Ndio mke anawajibika lkn kulea wote tunalea! Nikikununulia zawadi nawewe utanunua tu. Maisha ya kugeuzana miradi au watumwa ni ushamba! Na kushusha uthamani wako iwe mwanamke au mwanaume! Yaani wewe mwanamke unakua kama golikipa pamoja na kazi uliyonayo uhudumiwe kila kitu Ndio maana wanaume wenu wakigundua unachat wanawaua hata kama yeye anamchepuko badilikeni wote wenye akili kama alieandika huo uzi!
 
Acha ushamba wewe umeona laki ni pesa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mleta mada nilifikiri ana stress za siasa tu kumbe hadi kwenye mapenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…