Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

Kwa hiyo mtoa mada ina maana unauza uchi kwa Tshs 3,333.33 kwa siku 1 mbona hata wale wa kimboka bei yao ipo juu sana kwa simulation 1... Embu jiupgrade kidogo baadae uje kiodogo na post yenye akili zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mtoa mada ni jemba ila umejiita sexless itakuwa unagegeda na wewe unapokea mgegedo 0713.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Basi ukae nyumbani nikupe laki na matunzo yote sio unaenda kazini,kutafuta nini kama pesa haina kazi ya nyumbani?
 
Sawa ila jua kuwa atakuwa na hati miliki yako, hata akitaka kuzibua choo uwe mpole! Anakumiliki.
 
Tena ukiwa mwanamke wa kiislam kuwa makini na kujitoa sana kwa hawa ndugu zetu! Utashindia mihogo, utajichanga kipato chako na chake mjijenge huku umepauka halafu mkiwa na ahueni ya maisha ' anaoa mke wa pili, tatu na anakuambia naruhusiwa kama nina uwezo wa kuwatunza' hahaha hajui uwezo ni wenu nyote usingemshika mkono asingeweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah ndo wake za wadogo zetu ubinafsi mwingi ndo maana mkiolewa siku mbili mna tupwa kapuni.
 
Laki kila mwezi, x 12, 1200000m kwa mwaka, mbona iyo naitoa mara moja tu?!
 
Kwa mtizamo huo
1. Wewe kuhusu ndoa sahau.
2. Hata kama ukiolewa basi maendeleo hapo ndani kwenu yatachelewa sana.
3. Ushauri wa bure tu. Ni kweli mume hatakiwi kuuliza mshahara wa mke inatakiwa atimize wajibu wake. Lakini mwanamke mwenye AKILI NA BUSARA wanakaa na mume wake wanapanga pamoja mapato yao na ikiwezekana kugawana majukumu. Japo kama huna busara mwanaume anaweza kukaa kimya na kukuangalia tu. Na hiyo haina afya kwenye ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laki?
Laki haitoshi hata kusuka......

Ndoa kusaidiana ujue (narudia kusaidiana... na si kujibebesha majukumu ya kichwa cha familia)

Anyway

Maisha ni vile mtu atakavyo
 
Si uende uko uarabuni kwanini upate shida apa bongo
SI KWAMBA ATUJUI KUHUDUMIA ILA TUNAANGALIA FAIDA ZA UNAPO PA UDUMIA UKIONA AMNA FAIDA UNAJIFANYA MANGI TU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…