Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama hilo shariti lako haliendani na hii season ya Mh JohnKuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.
Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm sitaki kuchakaa nitakapo olewa.
Basi nikamuambia ili kuhakikisha naendelea kupendeza nitataka uwe unanipa pesa kwa ajili ya matumizi yangu ya dharura isiyopungua laki. Hii pesa pamoja na mshahara wangu usiiihesabie kwenye matumizi yoyote ya nyumbani wala usiichukulie kama ndiyo hela ya matunzo yangu. Hii ni kama pocket money tu. Ili mtoto wa watu niendelee kuchanua na nisichake kwa stress.
Ndiyo. Huko ndiyo kuolewa, mwanaume si ni kichwa cha nyumba!??Siyo niolewe halafu bado niendelee kuishi kwa kuiwazia hela ya kula, kodi, kuvaa, kunywa,n.k. Hela ya kuendesha maisha ya familia inatafutwa na mwanaume mm si nimeolewa bhana.!?Mshahara wangu ni kwa ajili ya mambo yangu. Kazi yangu kubwa ni kuzaa tu. Ndiyo maana nchi za kiarabu huko mwanamke akibeba mimba mumewe inabidi alipe hela nyingi sana kama asante kwa mkewe. Na bado wanawake wengi ktk nchi hizo siyo tu kwamba hawaendi maofisini, bali hata sokoni hawaendi.
Nimempa hilo sharti, akiliona analiweza poa, akishindwa basi ajue siyo fungu lake.
ONYO; Wanaume bebeni jukumu la kulea familia, msioe kwa kuangalia mishahara ya wake zenu. Wanawake wanapaswa kutunzwa. Mishahara yao ipo kama ziada kwa matumizi yao binafsi.
wewe ni shoga.Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.

Ukiona hivyo itakuwa kimenuka. Asichezee wanaume sio mabwege bali huwa wana malengo yakitimia wanakata kamba wakijua wakibaki hawako salama. Wanaume hatupendi mke wa kunyanyua mabega bali mnyenyekevu atakula vya uvunguni. Mke akijua kuhandle mume anaufyata na kumheshimu na kumpenda maradufu.Nasubiria tu afungue thread isemayo "wanaume wote ni mbwa tu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
You are so wise,nafikiri amekuelewa.Duh!Kwa hiyo yeye ndiye anakuhitaji zaidi kuliko unavyomhitaji?
Umeweka sharti la laki moja kwa mwezi kwa kuzingatia kipato chake au hali yako?Maana naona kama umejipimia kiasi kidogo lakini wanaofaidi pesa ya mwanaume huwa hawaombi hata senti na hiyo humfanya mwanaume atoe zaidi kuliko angepangiwa kiwango.Vipi ukichumbiwa na mtu kama Dangote utaomba laki?Naona umejipangia bei kulingana na thamani yako.Basi hiyo ni kama mipaka ya baraka na dalili ya kutojitambua.Hakuna kitu muhimu kama utu kwenye mahusiano yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umefikiria kama Mimi. Yaani huyu anachukulia ndoa kama biashara na nina wasiwasi huko ndani mahusiano yao yatakuwa ya kibiashara zaidi kuliko mapenzi. Na aombe huyo mumewe asiwe jeuri maana akisema fyoko ataulizwa shida yako nini? Laki yako si umepewa? Hata kama ana mamilioni usimuulize wewe pambana na laki yakoDuh!Kwa hiyo yeye ndiye anakuhitaji zaidi kuliko unavyomhitaji?