Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kwake nyingi kuna watu wana budget ya sh.2000 kwasiku sasa hiyo laki lazima iwe kubwa au huyo mme mtarajiwa anapokea laki 5 kwa mwezi lazima hiyo iwe nyingi sana tusimlaumu sanaSawa ni jukumu la mwanaume kumhudumia mkewe, ila mtoa mada yupo cheap jamani, sasa hiyo laki 1 kwa mwezi sijui kaiona nyiingi, hata dolla 50 haifiki, wakati mtu ndani ya masaa machache hiyo laki 1 ukienda nayo high spirit haurudi na kitu misstrace pakaywatek jooohs kibaravumba gwankaja
Unajuaje kama KE asije akawa anachanganya madesa kumbe ni MEJinsia yako huwa siielewi kabisa huwa unabadilika tokana na mazingira leo ke kesho me kila la kheri kwenye ujasiriamali wako
Nisome vizuri mkuu haeleweki jinsia yake leo atakuja kama ke bada ya mda atakuja kama me anataka kuoa huwa yupo hivyo huyo mtoa mada siku nyingine atakuja tena atatuponda wanawake sana
Unauza bei gani waweke wazi wanunueKuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.
Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm sitaki kuchakaa nitakapo olewa.
Basi nikamuambia ili kuhakikisha naendelea kupendeza nitataka uwe unanipa pesa kwa ajili ya matumizi yangu ya dharura isiyopungua laki. Hii pesa pamoja na mshahara wangu usiiihesabie kwenye matumizi yoyote ya nyumbani wala usiichukulie kama ndiyo hela ya matunzo yangu. Hii ni kama pocket money tu. Ili mtoto wa watu niendelee kuchanua na nisichake kwa stress.
Ndiyo. Huko ndiyo kuolewa, mwanaume si ni kichwa cha nyumba!??Siyo niolewe halafu bado niendelee kuishi kwa kuiwazia hela ya kula, kodi, kuvaa, kunywa,n.k. Hela ya kuendesha maisha ya familia inatafutwa na mwanaume mm si nimeolewa bhana.!?Mshahara wangu ni kwa ajili ya mambo yangu. Kazi yangu kubwa ni kuzaa tu. Ndiyo maana nchi za kiarabu huko mwanamke akibeba mimba mumewe inabidi alipe hela nyingi sana kama asante kwa mkewe. Na bado wanawake wengi ktk nchi hizo siyo tu kwamba hawaendi maofisini, bali hata sokoni hawaendi.
Nimempa hilo sharti, akiliona analiweza poa, akishindwa basi ajue siyo fungu lake.
ONYO; Wanaume bebeni jukumu la kulea familia, msioe kwa kuangalia mishahara ya wake zenu. Wanawake wanapaswa kutunzwa. Mishahara yao ipo kama ziada kwa matumizi yao binafsi.
Namwonea huruma aliekuzaa! Pole sana kwa kuwa na ubongo wenye vumbiKuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.
Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm sitaki kuchakaa nitakapo olewa.
We ndo sexless kweli kichwa chako ni zero brainPasi na unafiki
wewe utakuwa ni mfanyabiashara ya uchi
Yani kama bado una mawazo haya, endelea tu kupambana na hali yako aiseeeKuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.
Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm sitaki kuchakaa nitakapo olewa.
Basi nikamuambia ili kuhakikisha naendelea kupendeza nitataka uwe unanipa pesa kwa ajili ya matumizi yangu ya dharura isiyopungua laki. Hii pesa pamoja na mshahara wangu usiiihesabie kwenye matumizi yoyote ya nyumbani wala usiichukulie kama ndiyo hela ya matunzo yangu. Hii ni kama pocket money tu. Ili mtoto wa watu niendelee kuchanua na nisichake kwa stress.
Ndiyo. Huko ndiyo kuolewa, mwanaume si ni kichwa cha nyumba!??Siyo niolewe halafu bado niendelee kuishi kwa kuiwazia hela ya kula, kodi, kuvaa, kunywa,n.k. Hela ya kuendesha maisha ya familia inatafutwa na mwanaume mm si nimeolewa bhana.!?Mshahara wangu ni kwa ajili ya mambo yangu. Kazi yangu kubwa ni kuzaa tu. Ndiyo maana nchi za kiarabu huko mwanamke akibeba mimba mumewe inabidi alipe hela nyingi sana kama asante kwa mkewe. Na bado wanawake wengi ktk nchi hizo siyo tu kwamba hawaendi maofisini, bali hata sokoni hawaendi.
Nimempa hilo sharti, akiliona analiweza poa, akishindwa basi ajue siyo fungu lake.
ONYO; Wanaume bebeni jukumu la kulea familia, msioe kwa kuangalia mishahara ya wake zenu. Wanawake wanapaswa kutunzwa. Mishahara yao ipo kama ziada kwa matumizi yao binafsi.
Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wakeKuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.
Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm sitaki kuchakaa nitakapo olewa.
Basi nikamuambia ili kuhakikisha naendelea kupendeza nitataka uwe unanipa pesa kwa ajili ya matumizi yangu ya dharura isiyopungua laki. Hii pesa pamoja na mshahara wangu usiiihesabie kwenye matumizi yoyote ya nyumbani wala usiichukulie kama ndiyo hela ya matunzo yangu. Hii ni kama pocket money tu. Ili mtoto wa watu niendelee kuchanua na nisichake kwa stress.
Ndiyo. Huko ndiyo kuolewa, mwanaume si ni kichwa cha nyumba!??Siyo niolewe halafu bado niendelee kuishi kwa kuiwazia hela ya kula, kodi, kuvaa, kunywa,n.k. Hela ya kuendesha maisha ya familia inatafutwa na mwanaume mm si nimeolewa bhana.!?Mshahara wangu ni kwa ajili ya mambo yangu. Kazi yangu kubwa ni kuzaa tu. Ndiyo maana nchi za kiarabu huko mwanamke akibeba mimba mumewe inabidi alipe hela nyingi sana kama asante kwa mkewe. Na bado wanawake wengi ktk nchi hizo siyo tu kwamba hawaendi maofisini, bali hata sokoni hawaendi.
Nimempa hilo sharti, akiliona analiweza poa, akishindwa basi ajue siyo fungu lake.
ONYO; Wanaume bebeni jukumu la kulea familia, msioe kwa kuangalia mishahara ya wake zenu. Wanawake wanapaswa kutunzwa. Mishahara yao ipo kama ziada kwa matumizi yao binafsi.
Pitia uzi wake huo