Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

Huyu mtoa mada itakuwa anaota ingekuwa vizuri aliye karibu nae amshtue kidogo naona kashafika us anawaza madolali ,hakuna mwanaume wa hivyo usitusingizie ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama akiolewa na huyo bwana anaweza kupewa mwezi mmoja tu siku nyingine akaambiwa hana kama vipi rudi kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wauchumba ahadi zinatolewaga kibao zingekuwa zote zinatekelezwa ndoa nyingi zisinge vunjika
 
Muuza K, a.k.a Chuma ulete

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Njaa haijawahi kumuacha mtu salama... Kuna maisha zaidi ya pesa na kuchuna mabuzi...

Sent from Nokia 9100
 
Na huyo anaetaka kukuoa anashida sana na mke? Laki sio pesa nyingi ila masharti kama atayakubali masharti yako ana brain damage!!
 
Namuonea huruma sana huyo mwanaume.

Maana anaenda kuwa na mahusiano na taboralasa class A
 
Japo hiyo laki ni mshahara mdogo sana kwa mwezi lakini huyo jamaa akikubali hilo shart atatamani Mungu wa Israel amtoe roho siku zijazo!!!
 
Mwanamke anayefanya kazi na mshahara wake haueleweki unaenda wapi si bora aache kazi nimlee vizuri.
 
Hahhah hah hii post yako imenichekesha sana, kwa hiyo utakuwa unampa na risiti? Na asipokupa mwezi huu basi mwezi unaofuata unamdai laki 2 sio
 
Back
Top Bottom