mama chupaki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 940
- 765
Tena mbwa wenye mapembe[emoji83] [emoji83]Nasubiria tu afungue thread isemayo "wanaume wote ni mbwa tu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa nazo mbili sio bure kwanini abadilike badilike kama panzi wanachomwa kwenye pori au anafurahisha barazaPitia uzi wake huo
Unaoa ili iweje ? Mimi na-date na KE sita kwa raha zangu.
Sent from my Phillips Savy
Kinachoniuma watu kama mleta uzi unakuta hicho kipato chenyewe anachokililia source yake ni mshahara...huwa hawajiulizi je kipato cha huyo mtu kikatoweka na kutumbuliwa inakuaje...mwisho wa siku ndo wale ambao baadae wanatangatanga kwa kuwa yeye alimwangalia mwenzake kwa kigezo cha uwezo wa kifedha na si kumwangalia kwa kigezo cha tunaendana yaani kimtazamo na kimipango kiasi kwamba inakuwa rahisi kuweka sustainability planMkuu umefikiria kama Mimi. Yaani huyu anachukulia ndoa kama biashara na nina wasiwasi huko ndani mahusiano yao yatakuwa ya kibiashara zaidi kuliko mapenzi. Na aombe huyo mumewe asiwe jeuri maana akisema fyoko ataulizwa shida yako nini? Laki yako si umepewa? Hata kama ana mamilioni usimuulize wewe pambana na laki yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mtoa mada haeleweki ni me au ke kuna wakati anajifanya kidume mnalumbana weee sahizi anaibuka dume hatareee yupo kama kambaleUkitaka kuwajua wanaume wa jf basi ongelea pesa, watakufufulia hadi bibi mzaa bibi yake na bibi yako.
samahani mkuu,wewe ni ME??Mbona haujamaliza yote? Sema tu ukweli nawewe tumekubaliana pia uwe unanipa 0713 kila ninapohitaji tena bila masharti yeyote
Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.
Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm sitaki kuchakaa nitakapo olewa.
Basi nikamuambia ili kuhakikisha naendelea kupendeza nitataka uwe unanipa pesa kwa ajili ya matumizi yangu ya dharura isiyopungua laki. Hii pesa pamoja na mshahara wangu usiiihesabie kwenye matumizi yoyote ya nyumbani wala usiichukulie kama ndiyo hela ya matunzo yangu. Hii ni kama pocket money tu. Ili mtoto wa watu niendelee kuchanua na nisichake kwa stress.
Ndiyo. Huko ndiyo kuolewa, mwanaume si ni kichwa cha nyumba!??Siyo niolewe halafu bado niendelee kuishi kwa kuiwazia hela ya kula, kodi, kuvaa, kunywa,n.k. Hela ya kuendesha maisha ya familia inatafutwa na mwanaume mm si nimeolewa bhana.!?Mshahara wangu ni kwa ajili ya mambo yangu. Kazi yangu kubwa ni kuzaa tu. Ndiyo maana nchi za kiarabu huko mwanamke akibeba mimba mumewe inabidi alipe hela nyingi sana kama asante kwa mkewe. Na bado wanawake wengi ktk nchi hizo siyo tu kwamba hawaendi maofisini, bali hata sokoni hawaendi.
Nimempa hilo sharti, akiliona analiweza poa, akishindwa basi ajue siyo fungu lake.
ONYO; Wanaume bebeni jukumu la kulea familia, msioe kwa kuangalia mishahara ya wake zenu. Wanawake wanapaswa kutunzwa. Mishahara yao ipo kama ziada kwa matumizi yao binafsi.