Hahahahaaa haya bhanami si mind jamaa yangu..najua wako chini..lakini nitawavuta ili waweze kufikia level yangu..ila Kipipi amepona? nilishindwa kumpa pole, due to kifungo..(ban)! pole
bro upo umesalimika? maana masikan leo kimenukaje?
mi niko poa mdada mzuri..na mimesalimika, usimsikilize huyu Erickb52..kashaona wivu jinsi unavyonijali
kumbe Erickb52 ndo connector? na mimi nitafutie
uuuuwih!
dada mkubwa mi niliacha kukutengeneze chai siku nyingi ujue!
sasa nin ile ile chai ya mwezi wa pili au kuna mtu ulimuassign tena afanya hii kazi!??? BAK PLEASE COME ZIS WAY!
and call 911,please do!nahisi kuna kubaki mwenyewe tu humu na mzee K alinikabidhi huyu!uuuwih ntasemaje sasa mimi!
nini Arushaone wa arusha!
unataka nikutajie na wengne nini blaza!????