Nimetoka Jela.. Maugwadu kinomaa.. Erickb52! Nitafutie Demu mkalii!!

Nimetoka Jela.. Maugwadu kinomaa.. Erickb52! Nitafutie Demu mkalii!!

yaani nyie snowhite na Erickb52 mbona mmekuwa hivyo?
ina maana siruhusiwi kumtania mdogo wangu?
mnafikiri kama nataka mtu huku ntapiga ukunga?
mbona wapo wengi tu ni kiasi cha kujitwalia tu!
mmenikosea sana na mukuje kumwomba radhi dada mkubwa sasa hivi kabla siku yenu haijawa chachu
 
Last edited by a moderator:
Passion Lady kajaa tele tena tumetoka kula annivesary ya ndoa yake hivi juzi tu wakati upo kitanzini.
Aisee kaka mkubwa poleni sana na kadhia ya huko!!

Huku ni noma noma mkuu..hongera sana kwa binti yako.!
 
Last edited by a moderator:
yaani nyie snowhite na Erickb52 mbona mmekuwa hivyo?
ina maana siruhusiwi kumtania mdogo wangu?
mnafikiri kama nataka mtu huku ntapiga ukunga?
mbona wapo wengi tu ni kiasi cha kujitwalia tu!
mmenikosea sana na mukuje kumwomba radhi dada mkubwa sasa hivi kabla siku yenu haijawa chachu
We jitwalie tu ila asiwe ngorongoro boy

Mi kwa niaba ya snowhite naomba utusamehe eeeh dada mbwaku wetu ila usiungane na kiwatengu kwenye uhitataji
 
Last edited by a moderator:
We jitwalie tu ila asiwe ngorongoro boy

Mi kwa niaba ya snowhite naomba utusamehe eeeh dada mbwaku wetu ila usiungane na kiwatengu kwenye uhitataji

watch out..ila soma kwanza title yangu afu unijibu, au anza kuifanya hiyo kazi bana..
 
Last edited by a moderator:
ungekuta na wakezo wameolewa na nduguyo Erickb52
ushukuru tu sikumwambia

Poleni huko kwetu maana naona mmmmh
ni mwendo wa kuhamia mahandakini tu.

mzima lakini.

Mi niko poa sana..sema wenzangu wako in hard time.. MMAHE ye alikuwa mstari wa mbele..ila yuko safe..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom