Nimetoka Jela.. Maugwadu kinomaa.. Erickb52! Nitafutie Demu mkalii!!

Nimetoka Jela.. Maugwadu kinomaa.. Erickb52! Nitafutie Demu mkalii!!

Daah! jela bana..

Sitasema kosa langu ila Mamndenyi analijua.. na hata sema..
Nafili maugwadu ugwadu..

Jembe langu Erickb52 unanipoza na nani kati ya Chocs au Kipipi?..
Kule kwenye seva joto ni kali sana..

Mkuu watu8 yule daughter wako Passion Lady yu hali gani?
sijamwota tena...afu usije tena mtwara! Raia wame sala!
Selo hakuna ma Smile wala nini, full minuno..

Hivi hapa juu ya dunia kuna mbingu? ( Heaven on earth)..
Hivi ile nyimbo ya yule mchaga iliyokuwa inaitwa King'asti I love u and i need u..
iliishia wapi bado hajatoa remix?

Best yangu..nina maugwadu...

njoo kwangu nkutulizeeee
 
Keshakagua nusu ya wanawake wote huku cc tumebaki wazee na wanafunzi tu.
 
Khaa! kumbe ni wewe mkuu, sorry sana aisee...mbona sasa hukujitambulisha wakati nilikueleza nilibadili simu...enewei ngoja niisevu tena.
Mie nipo poa sana mkuu, maisha ynasonga vyema

Afu watu8 juzi nilikutumia sms ukaniuliza mimi ni nani while unazo namba zangu...Mzima wewe?
 
Last edited by a moderator:
Keshakagua nusu ya wanawake wote huku cc tumebaki wazee na wanafunzi tu.

kuna mwali wako! nipo nachonga nae underground akikubali tu! namtambulisha... anaitwa shansarie ngoja niweke mambo sawa.. niandalie watu wakuimba uchori..ngyealika kapsa mae...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom