NIMETOKA KAZIN NINA HASIRA KINYAMA.

NIMETOKA KAZIN NINA HASIRA KINYAMA.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Huu ni mwezi wangu wa kwanza, toka nianze kazi private sector.

Sijawai pokea malipo yoyote,
Sina hela wakuu nimepigika balaaa.

Job naonekana kama maisha safi lakin siri naijua mm,
Mfukon nina Jero tu hata chakula cha mchana siwezi kununua.
Job napo kazi zilikua nyingi kinyama nikaitwa kunywa chai nikaringa

Nina hasira kupita maelezo,
Yani nimepita sehemu nikiwa naelekea home,
ombaomba kaniomba hela nimemjibu sina kwa kushauti balaa.

X wangu yupo mbali na mim.

X wa karbu nae yuko busy na mambo yake.

Nilihis mpenz anaweza nifaliji nikikaa na future wife ataniambia maneno mazur, lakin wap hata wakunitia moyo simuoni.

hata nguvu zakusoma biblia sina.
Maana usomaji wangu wa bible huwa hadi akili itulie ndio naweza kusoma somo likaniingia kichwan bila hivo inakua kazi bure.

Nataman ningekua karbu na marafik zangu wa chuo wa kiume, nahs moyo ungesawazika.

Nimekua nikiweza kuhandle hii situation lakin leo nimepatwa na hasira sana.

But one day yes, nitaenda kutafuta kwangu.
Maana najua hapa nipo home saiv najua atakuja na mzazi kunivuruga zaidi na kukwepa siwezi, maana mzee wangu ni kichomi masaa 24.

Nimepata na somo.
Neno la Mungu lanifarji
Zaburi 126:5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lifestyle.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu kwa hali unayopitia sasa.

Maisha siku zote huwa na vikwazo kwa namna moja au nyingine.

Siku si nyingi mishahara itaanza kupatikana , kwa private sector bado kama siku kumi.

Utasahau yote ya sasa ukivuta subira kwa masiku haya machache unayopitia.

Mungu akupe amani , utulivu wa moyo na subira kwa kila jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran mkuu. Acha niwe na subira tu.

Yaani una X wa mbali na una X wa karibu na mke pia,lakini hua unasoma biblia...dah! we mwana kiboko
Huu ni mwezi wangu wa kwanza, toka nianze kazi private sector.

Sijawai pokea malipo yoyote,
Sina hela wakuu nimepigika balaaa.

Job naonekana kama maisha safi lakin siri naijua mm,
Mfukon nina Jero tu hata chakula cha mchana siwezi kununua.
Job napo kazi zilikua nyingi kinyama nikaitwa kunywa chai nikaringa

Nina hasira kupita maelezo,
Yani nimepita sehemu nikiwa naelekea home,
ombaomba kaniomba hela nimemjibu sina kwa kushauti balaa.

X wangu yupo mbali na mim.

X wa karbu nae yuko busy na mambo yake.

Nilihis mpenz anaweza nifaliji nikikaa na future wife ataniambia maneno mazur, lakin wap hata wakunitia moyo simuoni.

hata nguvu zakusoma biblia sina.
Maana usomaji wangu wa bible huwa hadi akili itulie ndio naweza kusoma somo likaniingia kichwan bila hivo inakua kazi bure.

Nataman ningekua karbu na marafik zangu wa chuo wa kiume, nahs moyo ungesawazika.

Nimekua nikiweza kuhandle hii situation lakin leo nimepatwa na hasira sana.

But one day yes, nitaenda kutafuta kwangu.
Maana najua hapa nipo home saiv najua atakuja na mzazi kunivuruga zaidi na kukwepa siwezi, maana mzee wangu ni kichomi masaa 24.

Lifestyle.

Sent using Jamii Forums mobile app

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Back
Top Bottom