Nimetoka kuota Chalamila kateuliwa uspika

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika.

Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna.

Damn!
 
Utakuwa ulikunywa ulanzi uliochacha; Chalamila akamfukue baba yake Jiwe Ndio atampa uteuzi!!
You are just unfair and hard on me. I can't choose what to dream. And as I said earlier whatever I dream comes true. Chalamila is our next speaker.

Nothing we can do our hands are tied the dude Will be the speaker.I clearly admit as a nation we are completely doomed and there's nothing we can do about it. it's to face and live with the situation!
 
Mzuka wanajamvi!

Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika.

Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna.

Damn!

Maghayo kwani wewe ndio umelazwa hapa mwaisela?

Maana kuna jamaa alikua anaota akitaja jina ndugai muda si mrefu

Amechomwa dawa ya usingizi alale😆
 
Wakudunge kamba wakuwahishe Milembe. Omba lift kwa mgalilaya sabufa.
 
You are just unfair and hard on me. I can't choose what to dream. And as I said earlier whatever I dream comes true. Chalamila is our next speaker.

Nothing we can do our hands are tied the dude Will be the speaker.I clearly admit as a nation we are completely doomed and there's nothing we can do about it. it's to face and live with the situation!
Yaani mpaka utuongelee kiingereza cha Mbege ili tujue amekugusa?
 
Kwa mmmh Bora ulivyostuka Mapema maana ndoto nyingine mbaya kweli kweli,
Unaweza ukajikojolea kitandani ukiiendekeza
Ebooooo!
 
Ukiota tena ndoto inayofanana na hii utakata gogo kitandani
 
Mzuka wanajamvi!

Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika.

Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna.

Damn!
Mbunge wa kuteuliwa hawezi kuwa Speaker! Lazima awe na jimbo
 
Mzuka wanajamvi!

Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika.

Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna.

Damn!
It's just a dream in reality he do not deserve.
 
Mzuka wanajamvi!

Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika.

Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna.

Damn!
Kwa mara ya kwanza unaota uongo...
 
Back
Top Bottom