Nimetoka kuota Chalamila kateuliwa uspika

Nimetoka kuota Chalamila kateuliwa uspika

Mzuka wanajamvi!

Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika.

Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna.

Damn!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu amka kwenye hiyo ndoto utajikojolea
 
Katiba ya wapi hii?
Huoni hata Tulia aliteuliwa tu(mbunge wa ikilu) japo unaibu.
Adam sap na Msekwa walikuwa wabunge wa wap?
Au ndio ujuaji.
Mkuu kubadilshana uzoefu si ujuaji ni kujifunza.

Spika na naibu Spika:
Ibara ya 84-(1) kutakuwa na spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na Wabunge kutoka miongoni mwa Wabunge au mwenye sifa ya kuwa Mbunge....

(9)Mtu yeyote ambaye si Mbunge atakayechaguliwa kuwa Spika, atatakuwa kabla ya kuanza kutekeleza madaraka yake kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu.

Kifupi umenishinda kwa hoja, upo vizuri.
 
Back
Top Bottom