You are just unfair and hard on me. I can't choose what to dream. And as I said earlier whatever I dream comes true. Chalamila is our next speaker.Utakuwa ulikunywa ulanzi uliochacha; Chalamila akamfukue baba yake Jiwe Ndio atampa uteuzi!!
Mzuka wanajamvi!
Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika.
Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna.
Damn!
Ndo mimi sweetieMaghayo kwani wewe ndio umelazwa hapa mwaisela?
Maana kuna jamaa alikua anaota akitaja jina ndugai muda si mrefu
Amechomwa dawa ya usingizi alaleπ
Ndo mimi sweetie
Yaani mpaka utuongelee kiingereza cha Mbege ili tujue amekugusa?You are just unfair and hard on me. I can't choose what to dream. And as I said earlier whatever I dream comes true. Chalamila is our next speaker.
Nothing we can do our hands are tied the dude Will be the speaker.I clearly admit as a nation we are completely doomed and there's nothing we can do about it. it's to face and live with the situation!
Kalewa huyoHiyo ni ndoto au ramli?
Mbunge wa kuteuliwa hawezi kuwa Speaker! Lazima awe na jimboMzuka wanajamvi!
Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika.
Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna.
Damn!
ππππUkiota tena ndoto inayofanana na hii utakata gogo kitandani
It's just a dream in reality he do not deserve.Mzuka wanajamvi!
Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika.
Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna.
Damn!
Kwa mara ya kwanza unaota uongo...Mzuka wanajamvi!