Nimetoka kuota Chalamila kateuliwa uspika

Atakuja tulia kukutuliza...
Tunajua Jamii Forum ni jukwaa lililojaa wasomi na wabobezi wa mambo mbalimbali, Kiingereza sio lugha yangu ila napenda sana kujifunza, nilitegemea huyo aliyeona kosa angenielekeza, lakini badala yake amenitukana dah! nimevunjika moyo wa kujifunza hiyo lugha aisee.
 
DR.MSUKUMA ANGEFAA ZAIDI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 

Aaah gringo mkaldayo is teming ung’eng’e all the way from Kalpenaumu..!

Damn!![emoji276]
 
Chalamila akiwa spika atataka Katiba Mpya ili naibu wake asimloge
 
Kweli hiyo ni ndoto, ila mkuu acha bhangi
 
Bila shaka utakuwa mwanae Chala Mila au mwanafunzi wake was pale Udom🤔.
 
Mkuu ungelikuwa umesoma katiba,hiyo ndoto ingelikuepuka.

Ndoto saazingine hupita "mule mule" unapoishia ufahamu wa mtu.

Kiuhalisia Spika anachaguliwa kutoka miongoni mwa wabunge wa majimbo waliochaguliwa kwa kupigiwa kura, ndivyo katiba inavyosema.

Sasa mbunge huyu wa" from no where" wa ndoto zako, labda mwaka 25 au 30 endelea kumtakia heri.
 
Katiba ya wapi hii?
Huoni hata Tulia aliteuliwa tu(mbunge wa ikilu) japo unaibu.
Adam sap na Msekwa walikuwa wabunge wa wap?
Au ndio ujuaji.
Hukuona hata watu wanawajadili Chenge na Masele uspika hum?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…